Search results

  1. H

    TFF - Weka maslahi ya taifa mbele!!!

    Maamuzi yalitolewa kwa niaba ya klabu na viongozi wa Klabu!! Ni sahihi kwa klabu kupewa adhabu kutokana na kutokuwa makini kwa waendeshaji!! Ni jukumu la wenye klabu kuwachukulia hatua wale walioifikisha klabu hapo.... Nidhamu iwe mbele ama sivyo suala la utaifa halina maana....... ama...
  2. H

    Serikali yatimua wanafunzi UDSM

    Sio kweli kuwa kuna mwanafunzi amefariki katika sakata hilo. Kwenye ubao wa matangazo hapo chuo wamebandika ufafanuzi kuhusu hilo. Kufukuza wanafunzi sio sahihi...na wanafunzi kutumia mabavu na kuvunja sheria kudai haki pia sio sahihi. Mie nafikiri wakati umefika sasa wakatumia mahakama...
  3. H

    Ffu Wareje Tena Udsm

    Hii naomba iunganishwe na thread ya wanafunzi wa chuo kikuu kuomba msaada hapa JF. Pia tuangalie chanzo cha mgogoro mpaka kufikia mgomo na uhalali wa mgomo huo kabla ya kutoa hukumu.
  4. H

    The Radar Scandal: Investigation & Progress

    You meant no DOUBT Gigo?
  5. H

    Tanzania Idol auditions were a joke

    Mkuu naona umechanganya dozi. Inayosemwa hapa ni Idol iliyo andaliwa na M-NET kwa ajili ya East Africa na nchi nyingine kadhaa....sio ile ya kutafuta star wa Bongo. Mie pia sijaona hiyo ya Mnet...hivyo sidhani kama nitafanya haki kuchangia Kwa walioiona hiyo ya MNET....lets share the...
  6. H

    Uuuuuuwi! - I don't even want to try this one..

    Changa la macho hilo!!! Madawati hata yangetengenezwa kwa mninga bei labda ni robo ya hiyo tu kwa estimate za juu!!!
  7. H

    TICTS: The inside story

    Mpaka hapo kulindana na kiburi kitakapo kwisha kwa wakubwa wa nchi hii... ufisadi utakuwa pia umepungua.....kwisha kwa ufisadi inaweza ikawa ngumu sababu ya mfumo wetu wa maisha....... Huyu baba aliyetuita.. watanzania ni watu wenye wivu wa kijinga na wavivu wa kufikiri...alifikiri sana...
  8. H

    Time up for cheating spouses

    It should be called MEN CHEATING DETECTOR..... Who is initiate cheating process....who is more flirting kati ya wanaume na wanawake?
Back
Top Bottom