Search results

  1. BIF

    Hii ni sawa?.

    Habari wana JF,nina kerwa sana na jambo hili kwa muda mrefu nimelileta kwenu ili nipate mawazo yenu,Mimi ni kijana nina mchumba ila tabia za mchumba wangu zinanitia mashaka mpaka nimeanza kuhisi kushindwa kuwa katika huu uchumba. Habari iko hivi, Mchumba wangu anakaa kwa dada yake ambae...
  2. BIF

    Station Manager na Technician jobs

    Wana JF naomba mnipe dondoo zozote kuhusu hii tume ya ajira,Nimeitwa kwenye usaili utakao fanyika tarehe 30 mwezi huu kwa nafasi ya Computer Operator naomba mawazo yenu kama natakiwa kuwaje siku iyo ni maswali gani nayoweza ulizwa kwa hii nafasi na vitu vingine kama ivyo. Nawasilisha.
  3. BIF

    Tafadhali ushauri una hitajika

    Wana JF samahani kwa kuleta topic hii hapa,ila nahitaji msaada kwa yoyote aliekwisha fanya Interview kwenye hii tume ya ajira,Mimi nimeitwa kwenye Interview ambayo itafanyika tarehe 30 mwezi huu ivyo nahitaji kudokezwa mambo ambayo ni muhimu kuwa nayo na aina ya maswali ambayo wanapenda kuuliza...
  4. BIF

    Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

    Duah hii nayo kali,Mzee huoni haibu beki 3 tena bora ungeenda mbali kuliko uyo beki 3
  5. BIF

    Je, kuna ukweli kuwa wanawake wa kiafrika hawako huru kitandani?

    Binafsi naona ni kweli wadada wengi haibu zimewajaa mpaka wakati wmingine inakua kero aisee,unakuta mdada hata kumwangalia men wake wakati wana do.. ni shida,nafikiri hii inachangia sana wanaume kuwa na nyumba ndogo.
  6. BIF

    ...nahisi nina tabia za kike!

    Mmh!Jichunge mana Dunia imebadilika siku hizi.
  7. BIF

    Kijana wa mtaani asiye na kazi anakutaka kimapenzi...

    Baada ya kusoma post za wana JF,nami pioa nimevutika kuchangia thread hii,binafsi sioni kama elimu ni Tatizo kwasababu naamini wapo wanaume wenye elimu ndogo na wanabusara sana,Ivi mnafikiri hao wenye ma PHD ndo sio wakorofi?Akili mbovu ni hulka ya mtu kwani hao wenye elimu kubwa pia wana mambo...
  8. BIF

    Nifanyeje

    Tupa kapuni
  9. BIF

    Mke wangu kisirani, anakataa unyumba. Msaada tafadhali

    Hapo Mkuu umenena uyo ajapendwa.
  10. BIF

    Unaonaje wewe?

    Uyo ni wa kumuacha tu hakuna cha kusubiri apo mana baadae atakuja kupata kubwa zaidi ya hayo aliyopata,tena uyo jamaa ana moyo sana na ni mvumilivu sana,mimi nampa hongera sana mana amevumilia sana.
  11. BIF

    Tafadhar soma hapa, mchango wako wa mawazo wahitajika.

    Unajua nini, hii Nchi kuna viongozi ambao awastahili kuwa viongozi kwa kua wao watoto wao wanasoma uko maulaya hawahangaiki na wananchi maskini,yani ni wabinafsi sana hawa viongozi wetu.Nilishawahi kumsikia Prof mmoja wa chuo kikuu cha Dsm akisema kuwa walishafanya mchakato wa kubadili silabasi...
  12. BIF

    Kwani wanaume hamuez kusema 'hapana'

    Inategemea nategwa na nani yawezekana anae nitega na mimi ndo nilikua nampigia hesabu, sasa fikiria out put yake itakuwaje hapo,yeye anajifanya anatega mimi nakuja mzimamzima. "sio kila mlusha ndoana kwenye mto ataibuka na samaki"
  13. BIF

    "Sintosahau Maishani"...!!

    Du!Mkubwa mimi niwe mkweli kwa masifa uliyoyatoa kwa uyo Duu mimi nisingemsubilisha kiivyo aisee yani ile katoka kuoga tu kingeeleweka kwanza alafu usingizi baadae tena kama vipi kulala siku iyo tunakupa likizo.
  14. BIF

    Tafadhar soma hapa, mchango wako wa mawazo wahitajika.

    Ebana mi naomba mnipe mawazo juu ya ili swala la interview kufanyika kwa lugha ya kigeni(English) Wote tunajua fika Watanzania walio wengi icho kizungu ni cha kubabaisha babaisha na hii ni kutokana na mfumo wetu wa Elimu ulivyo, wengi wetu tumepitia kwenye izi shule za wakina "kayumba" na Sec...
  15. BIF

    PLZ READ:Baada ya kukosa ajira Tz,sasa nimeangalia kwenye MKOPO wa MILIONI 6.

    Usimjaji mtu kwa lugha jaji utendaji wake wa kazi na icho ndo wabongo tunachokosea utakuta mtu mdomono anamwaga ung'eng'e ile mbaya mpe kazi afanye uone ayo madudu atakayoyafanya.
  16. BIF

    Wanawake wana roho mbaya sana

    Si wakina mama wote, wapo wengine poa ila wengi wao ni noma bwana,Yani uwa sipendi kukumbuka ya nyuma awa watu acha tu nisiseme mana....
  17. BIF

    Wanawake wana roho mbaya sana

    Nimeipenda iyo ila hawa watu ni noma coz mimi nililelewa na mama wa kambo aisee nilikua napata mkong'oto kila siku tena sotimes bila kosa mauulum.
  18. BIF

    How to Know if a Guy Likes You

    Tehe......tehe............tehe we mkali.
Back
Top Bottom