Search results

  1. A

    Russian firm plans to build research nuclear reactor in Tanzania

    Tatizo la taifa hili hatuna elimu ya kutosha kujiingiza katika uvunaji wa madini hatari kama hayo URANIUM. Tunakurupuka kwa sababu mtu amekatiwa asilimia yake tayari offshore accounts (vijisenti) na anatoa baraka zake kuwaangamiza watu wanyonge. Jamani URANIUM ni madini HATARI SANA kwa binadamu...
  2. A

    Max Melo kajitolea kutulinda, sisi tumeshindwa kumlinda, lakini vifungu hivi vinawapa nguvu polisi

    Uliyoyaeleza katika comment yako yana ukweli asilimia 100. Lakini basi, vyombo vyetu vya ulinzi na usalama navyo visitumie hovyo sheria kama hizi katika utendaji wao wa kazi. Wasimnyanyase wala kumkandamiza mtu kwa ajili ya kuwafurahisha watu au kundi fulani. Yanayomkuta ndugu yangu Melo ni...
  3. A

    Mabalozi wa Umoja wa Ulaya (EU) wamlima barua Waziri Mkuu kuhusu Albino

    Ni aibu, wazungu kuwa na "huruma na kujali utu", sisi hatujali na tunaishia kulaani tu! Hivi katika ulimwengu huu, tunatawaliwa na mambo ya kishetani kweli? Tutafika wapi ikiwa hata baadhi ya viongozi na wakubwa ni wafuasi wa mambo haya. Mwenyezi Mungu Amlaze Mahali Pema huyo mama. Na Awalaani...
  4. A

    Mafuriko makubwa Same Mjini leo

    Ahsante kwa taarifa yako. mimi niko korogwe naelekea mwanga. bora nilale hapa, nisafiri kesho maana muda huu visibilty sio nzuri. ahsante sana
  5. A

    Shibuda amshambulia Tundu Lissu bungeni

    Kweli kabisa.Kukosoa huko ingalau kungefanywa na spika au from the other parties. lakini huyo jamaa tunaemzungumzia wote tunajua ni mroho. Wa chakula na hata uroho wa kuropoka. Nyumbani kwangu, mimi na spouse wangu tunapozungumzia uroho wa kula tumebatiza neno "uroho" kuwa "shibuda". Maana Mh...
  6. A

    Radio Imaan: Kikwete anajipendekeza kwa wakristu!

    Hizi ni changamoto katika jamii. Shetani anataka kuvunja uelewano uliopo kati yetu sisi waTZ. Kitendo alichokifanya huyo mtoto ni kibaya kuliko lakini Mwenyezi Mungu ndiye atakae mhukumu huyo kijana sio sisi. Gravity ya uharibifu wa mali ni mkubwa kuliko kitendo cha yule kijana. Tungemhukumu...
  7. A

    aunt ezekiel na shilole balaaaa!

    we acha tu.wanaweza kushiriki ktk hafla hiyo kwa kuongea maneno mazuri na fans wao na naamini watawapenda tu. Ila kwa kucheza vile what do they gain? Ila sasa, our uncles zetu ndio wanachotaka. si unajua tena generation ya vijana wetu siku hizi! Kazi kweli x2.
  8. A

    Mnakumbuka haya Mafiati, na Madereva wake walikuwa Wasomali!!!!!

    Enzi hizo wale madereva wa kisomali walikuwa na tabia ya kulichezesha tela unapoanza kuwa overtake katika hiyo barabara nya TANZAM HIGHWAY kama ilivyojulikana hapo zamani.. walikuwa wanawasababishia ajali za kusudi ili wawa sachi majeruhi na maliokufa. They were very notorius for that. na hizo...
  9. A

    Mnakumbuka haya Mafiati, na Madereva wake walikuwa Wasomali!!!!!

    Nakumbuka katika nyumba ya mzee (dingi) pale Changombe karibu na Sigara Club, alimpangisha singa singa mmoja ambaye alikua anafanya kazi kampuni moja kule kule maeneo ya Changombe viwandani ilijulikana kama MOUNT CARMEL RUBBER FACTORY,ya Muisrael mmoja. Huyu singa singa alibuni kutengeneza...
  10. A

    Number za Magari tata

    na hii je? T OOO VUZ- Mpaka zitakapofika series za M, U na V labda utakuwa umetangulia mbele za haki. (Just jokin) anyway,inawezekana ustaarabu utaingia akilini kwa jamaa wa TRA.
  11. A

    Wassira amtaka Dr. Slaa aache kuita wake za watu chumbani!

    At least the old man should show some respect to his daughters. Its typical non-African to utter such remarks concerning his daughters, a fact he cannot deny.
  12. A

    Zitto: Sitagombea ubunge 2015, Nitagombea Urais kupitia CHADEMA...

    Kwa muda mrefu matamshi ya ZK huwa yana kaharufu ka u-opportunist. Nimesoma makala ya Zitto ya Miles Zenawi (RAIA MWEMA)na nafikiri alikuwa hamuelewi vizuri Zenawi na ikanipa shaka juu ya fikra zake na upeo wake katika siasa. Namshauri ajikite kusoma vitabu vya scholars na aongeze elimu...
  13. A

    PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

    hapana asipewe jamani. Itamuuma sana sana. Plz asipewe. Athari zake zitamuathiri.
  14. A

    PICHA: Dr. Slaa atoa pole kwa familia ya marehemu Mwangosi

    Naona uchungu sana nilipoangalia picha za kinyama na ukatili alivyofanyiwa daudi mwangosi. Nazidi kuona uchungu zaidi kutafakari jinsi kijana huyu alipoelezwa kuwa baba yake almefariki kwa kupigwa na polisi akiwa kazini. Naomba mwenyezi mungu kijana huyu asipate kuziangalia picha zile za kinyama...
  15. A

    Samwel Sitta: Wa kuogopwa urais 2015 ni Dr. Slaa tu

    Viongozi wachache maana yake nini? Kwani miaka sita au saba iliyopita Obama alijulikana? Viongozi wapo wengi ndani ya jamii yetu, lakini hatutaki wapiga debe,isifananishwe wapiga debe / kelele eti waitwe viongozi. Kwanza wametuongoza nini? ufisadi? Dhuluma? wizi? elimi duni?,Infrastructure...
  16. A

    Complicated Marital Status za wana CDM na Urais 2015

    Ndoa ni mkataba kati ya wapenzi na haina formula ya ku-i-sustain.Unaweza kuwa na matatizo lukuki katika ndoa yako, lakini hayataingilia utendaji wako wa kazi na majukumu mengineo. Kuwa na ndoa au kutokua nayo si kigezo cha kumpima mtu status yake katika jamii.Mwl Nyerere pamoja na hekima na...
  17. A

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    Hongera polisi kwa kuua? Akili ya kitoto hiyo. Kazi na sensa vinakujaje hapa? Shughuli za binadamu zinagawanyika kaka,wengine wanalima, wengine wanazalisha na wengine wanatimiza wajibu wao kama wanaharakati! Naamini maandamano yangeachiwa yaendelee yangefika walikokuwa wakielekea na...
  18. A

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    kwani wangeachwa kuandamana mpaka ktk hicho kiwabja pangetokea nini? Hakuna historia maandamano ya CDM yalileta fujo bila ya kuchokonowa na polisi. My late father alinusia years back baada ya kumaliza shule, enzi hizo Cassell forms ndizo zilikuwa zinatumika kuomba kazi ( kwa wenzanagu tuliokula...
Back
Top Bottom