Search results

  1. M

    Hongereni first year (ba-ed) at udom.

    baada ya kimya cha mda mrefu cha tcu hatimae wametoa majina ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa vyuo vyote.Kwa wale wa BAED UDOM karibuni sana. kuhusu BAED Wanafunz wa BAED walihamishwa kutoka college of education kwenda college ya social science&humanities.Lengo la...
  2. M

    Ukoloni mambo leo

    Let them eat,our chance is coming.Who will spat a juice which is placed into his/her mouth?
  3. M

    This is India. You are all welcome

    ee!ipo kazi
  4. M

    Katuni ya Kagame toka kwa Chris Katembo

    c wakaache tukachakaze
  5. M

    Nape akiwa Dodoma leo.

    hapo jamaa anasema.kaka NAPE naomba hata mia mbili!
  6. M

    Et ni kweli kwa wanaosoma B.A WITH ED(BAED)?

    Udom unajichagulia tu.no tress
  7. M

    Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

    sipingani na barua hiyo,lakin nina mashaka na barua hiyo kwan mwandishi amedai ameanzisha vita ili kutokomeza biashara hiyo,kisha anasema kuna wengine ni aibu kuwataja.je ni kweli ameanzisha vita dhidi ya madawa ya kulevya au ni kuchafuana?je kuna barua ambayo haina jina la mwandishi?madawa yapo...
  8. M

    Rwanda, kenya, uganda kutumia ID cards kusafiria na makubaliano ya single entry visa kwa watalii

    alafu kenya wanajidai sana eti kwa sababu ya kingereza,wananadhan watachukua watalii wote,hatutaki muungano wa kinafiki
  9. M

    Picha: Hali ya Muhimbili kwa sasa inatisha

    kumbe kagame yuko sahihi kabisaa
  10. M

    Kwa wale wa diploma kazi ni kwako

    MAELEKEZO MUHIMU: S/N JINA JINSI NAMBA YA MTIHANI TAHASUSI SHULE ALIYOSOMA ANUANI CHUO ALIKOPANGWA 1 Â ATHANAZI LUCAS MSILINGWAÂ ME S2213/0505 HK USEVYA BOX 113 SUMBAWANGA SONGEA 2 AARON JOHN ME P0798/0585 HK KOROGWE TEACHERS COLLEGE CENTRE BOX 6351 DSM SONGEA 3 ABACE BUHIRI ME P0546/0522 HG...
  11. M

    Msaada wa sheria!

    Kwanza nitangulize shukran kwa wana jamii forum kwa kaz kubwa ya kuelimisha jamii.baada ya shukran hizo,naomba kusaidiwa kwa hil:mama ana kesi dhid ya aliyekuwa mme wake tangia 1999 akidai mgawanyo wa mali walizochuma.kesi imeendeshwa hadi mahakama kuu na mama akapewa nyumba moja kat ya3...
Back
Top Bottom