Search results

  1. T

    Tuliosoma Lugalo Sec Mpooo!!!!!!

    Oooh no, sikujua! RIP mwalimu Materu! Yule mwanae Rose Materu nae sijui yuko wapi. Hee nakumbukia enzi zile za kina mama Mwakasonda/Chigulu, Mwaisaka, Kibasa, Mzee Chikukula-RIP, mwalimu Mangula, Msasimela, Tweve nk nk! Ile shule ilikuwa nzuri sana, cjui sikuhizi! Hee mambo ya bustanini na...
  2. T

    John chiligati vs wapinzani: Vita vya maneno!

    Hayo maneno ya Chiligati yanaonyesha jinsi alivyojisahau kutetea maslahi ya majority (wananchi wote wanaoathirika kwa ajili ya ufisadi). Inauma sana unapoona kiongozi bila ya aibu anaongea maneno yasiyo na busara. Ifikie wakati viongozi wetu washtuke na kubadili mtazamo wa mambo! wananchi...
  3. T

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Hongereni sana CHADEMA kwa ushindi mnono mlioibuka nao Tarime. Iwe ni changamoto ya kukiimarisha chama na kuachana na migogoro inayowakwamisha kusonga mbele. Ukombozi si kitu cha siku moja, taratibu tu tutafika! Tumechoka kuonewa na mafisadi waliojimilikisha nchi yetu na kugawa rasilimali zetu...
Back
Top Bottom