Search results

  1. Mtazamaji

    Tanzania Automotive Technology (Nyumbu): Si Kama Unavyoifikiria

    teh teh teh. Desiged kwa maonyesho tu!!!!!!!!! . kama ni hivyo then its not FEASIBLE. Financially,Technically na hata kiulinzi.
  2. Mtazamaji

    Shocking News; Kweli ndio tumefika huku?

    Gaijin Nipo mwalimu..... Tena nipo Jana na leo. Alafu nahisi kama nimekumiso. Fanya kuni ublock huko kwenye PM yako japo kwa dk 5. :biggrin:
  3. Mtazamaji

    KING' AMUZI cha STARTIME MFT930

    Noted Mr Kicheko. Lakini sasa ambacho hukuelewa kwenye comment Number 5 ni nini??!!!!! :shock: Kama na wewe kiswahili uelewi vizuri nitajitahidi japo kwa kuchapia chapia ni tafsiri commnet number tano kwa lugha unayotaka mkuu.
  4. Mtazamaji

    Installing additional domain 2008r2 to an exisiting domain 2003

    Mkuu nadhani DCpromo ina stage kadhaa kabla a ku run . Sasa je hiyo error unaipata atika stage gani. I mean ni mwisho kabisa au katika stage za kati kati eg. Lakini kwa haraka haraka naona tatizo linajielza kuwa ni DNS. Yaani hiyo mashine unayotaka kuimpromote kuwa AD haitambui au haioni...
  5. Mtazamaji

    KING' AMUZI cha STARTIME MFT930

    Mhhh kweli nimechemsha. sio startime ni Mediacom. Wakuuu juu hapo na wengine wataosoa huzi huu mniwie radhi. Neno startime liwe replaced na Mediacom.
  6. Mtazamaji

    KING' AMUZI cha STARTIME MFT930

    Wadau wa tek Salaaaam Nimepata challenge moja sasa kabla sijatafuta mtaalam naomba kama kuna mwenye ujuzi anipe maelekezo nijaribu kuyafuata nione kama naweza kurekebisha hili tatizo. Tatizo Gani? King'amuzi cha startime mft 930 kilikuwa kinapokea vizuri matangazo na kuonyesha channle...
  7. Mtazamaji

    msaada plz

    Mkuu Unaweza kuwa sahihi lakini unaona na wewe mwenyewe unasema huna uhaika kama dell na HP wana Mini laptop lakini mleta mada anasema katika "dirisha la mununuzi"( Windows shopping )alilofanya aliona/ alipenda Dell, HP na samsung . Je zote hizo zilikuwa min laptop? Nadhani way foward...
  8. Mtazamaji

    msaada plz

    Hi lady N. Uimara sio wa brand tu bali model. Japo generally kuna brand nyingine kama dell zinasifika lakini kuna model fulani fulani za brand hizo zinaweza kuwa zina design defect. Baadhi ya model za Hp na Dell ukisoma reviews za watumiaji kadhaa zina matatizo ya power supply...
  9. Mtazamaji

    Bob Marley aliamini Mungu kweli?

    kiranga habari za masiku Kama hutaki mtu aamini at all that implies kuwa unataka mtu awe na imani asi au imani (-ve).( This depend wewe uko upande gani ) Kwa hiyo si k weli wewe huna IMANI. Una imani tofauti . Ukweli Hii dunia inakwenda kwa imani Hata 1+1= 2 na number kama hizo ni...
  10. Mtazamaji

    IT Project Kwa Vitendo

    Haaaaaa Givenality In this project we achieved some milestone but we never achieved our goal.
  11. Mtazamaji

    Lt Gen. Kayumba Nyamwasa: Why I fled Rwanda'

    "carnivorus!" uliyoandika nina hikika sio ile ya tuliyofunishwa kwenye bios-lagos kanumbas secondary school. Ebu nitegulie kitendawili una maanisha nn na hiyo "carnivorus". hhahahhahaha
  12. Mtazamaji

    HISABATI: Unakumbuka nini

    Hahahaha hii Kigawe kidogo cha shirika na kigawo kikubwa cha shirika ilinisumbua sumbua mwazoni chini ye mwembe primary skuli
  13. Mtazamaji

    Mh. January Makamba, Nakupongeza kwa hili

    Daudi mchambuzi Atleast hii ni hoja lakini issue ya wabunge kuwa jimboni/wilayani ukiondoa wa mijini wachache sana wanatumia siku japo siku 60 kwa mwaka kwenye majimbo yao. Sasa katika haowengi wanatumia muda mrefu mjini kuna wachache pia wanatafuta namna ya kupata na kuwasliiana na wapiga...
  14. Mtazamaji

    HISABATI: Unakumbuka nini

    kanumbas school nikikumbuka nusu ya kipindi sometime ilikuwa inapotea kwa kuandika notice za hesabu.
  15. Mtazamaji

    Tahadhari: Hii ni hatari sana kwenye simu

    Nzowa Godat Ok japo Physics yangu ya kuungaunga trough kanumbas schools kuna hoja mbili kule hujatoa ufafanuzi. What is maximum intensity?(at least approximation). Kwenye phsyics topic ya kwanza form1 ni Measurement na mambo ya SI unit.Basi mwageni darasa kisayansi au wekeni link tuone...
  16. Mtazamaji

    HISABATI: Unakumbuka nini

    kumbe weeee mkali . Hivi vipi kule maeneo . ile nafasi ya tatu ni yetu au tutaporwa ? Complex numbersssss mhhhhhhhhh naona siku mwalimu anafundisha niiiugua patience96Kwa avatar yako wewe utakuwa mkaliwa wa Trig na mambo ya pythagoras theorem .Au sio Mkuu
  17. Mtazamaji

    Mh. January Makamba, Nakupongeza kwa hili

    Hakuna anayeta ka kuspport ujingaa Lakini kuna wabunge wangapi wa CDM au NNCCR auCUF wanatuma japo siku 60 katika 360 wilayani achiia mbali jimbonii. Au kuna sheria ya mbunge imewekwa naCCM inawakataza? Wabunge wangapi leo wa upinzani tukiomba resgiter zao za ofisizao tunaweza kuona...
  18. Mtazamaji

    HISABATI: Unakumbuka nini

    Usishtuke hii mada hapa ndo mahala . Tuongelee story na history za somo la hesabu. Hili somo liikuwa moja ya changamoto kubwawangu ( Naamin wapo na wenzangu wengi tu) .Iwe nishule za msingi sekondary au hata walieoendelea nalo hadi "Havard" na "Oxfrd" za hapa bongo na huko majuu . Sasa...
  19. Mtazamaji

    Mh. January Makamba, Nakupongeza kwa hili

    Penye sifa papewe sifa zake jaman. Si bora huyuJanauari hata anatumia mbinu ya tenojia kuwasilia na wapiga kura wake Kuna wabunge wengi wa CCM na upinzani kwa mwaka hawatumii hata siku 30 jimbo Na hawana njia ya kuwasilina na wanachi ambao hao waanchi wanaijua. Lakini nakubainana wewe...
  20. Mtazamaji

    Waziri gani shujaa awe wa kwanza kutumia japo vitara?

    Bora hizo Hizo za wabunge maana ni zao au wamekopwa. lakini hizi za mawaziri ni za serikali.Sasa Gari inakula 200lst kwa wiki kiongozi mwenye maamuzi na uwezo wa kubadilisha gari hajishangai kutumia lita hizo kutoka Masaki kwenda posta. Bora watumie L. nyumbu hata kama linakula lita 300...
Back
Top Bottom