Search results

  1. ndiyomkuusana

    Itapendeza sana Simba SC ikifuzu kucheza FIFA Club World Cup 2025

    Simba hawezi Kama atashindwa kufuzu robo fainaly mwakabhuu. Na ataendelea kutofuzu pale ambapo, msimu ujao atashindwa kucheza ligi ya mabingwa Africa . Hata Sasa taa za hatari zinawaka, uenda Simba hasicheze ligi ya mabingwa msimu ujao akaishia shirikisho
  2. ndiyomkuusana

    Natafuta Watengenezaji wa Biogas hapa Tanzania

    Namba ipo juu hapo, nitafute, au njoo Instagram Kuna video na nimezielezea vizuri I'm on Instagram as @biogas96. Install the app to follow my photos and videos. Login • Instagram
  3. ndiyomkuusana

    Nimempenda mwanamke ila wazazi wake wamenikataa

    Mambo mwingine yapo Rohon8 usilazimishe
  4. ndiyomkuusana

    Elimu ni ufunguo wa Maisha, Diamond anamsomesha mtoto wake Braeburn International school, chekechea ada milioni 20

    Kuna Dogo mmoja Alison's IST ,baadaye akaenda kusoma ujerumani.,lakini kwa Sasa wakawsida Sana kimaisha.
  5. ndiyomkuusana

    Yanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF

    S Simba mashindano gani Kati championship au confederation. Alifika angalau nusu fainali tu, huku kwenye fainali Ni mbali, Nusu tu
  6. ndiyomkuusana

    Wanawake, ni zipi changamoto za kuishi na mwanaume aliyesimamishwa kazi?

    Shida akili zenu zote munawekeza kwenye Ajira. Ndo hapo Mambo yanakuwa magumu pale ambapo mmojawapo tegemewa anapoachishwa kazi
  7. ndiyomkuusana

    Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

    Hii katiba, ndiyo iliyomsimika mama kuwa Rais wa JMT. Nafikiri aliteleza tu. Tuendelee kumuombea
  8. ndiyomkuusana

    Waislamu wagombea Msikiti wa Wilaya ya Nyamagana, Ngumi zaibuka Waumini wadai BAKWATA imeundwa huu Msikiti wa Masjid Noor wameukuta!

    Huwezi fananisha ,KKT na taratibu za kiislamu, kkt Ni dhehebu, bakwata Ni Taasisi ya serikali ya kidini. Waislamu wengi hawaiungi mkono , Huwezi kukuta Baraza la kikristo Tanzania , wakaenda kuchukua kanisa flani , may be Luther house au st.joseph cathedral. Na kujimilikisha. Haitatokea, Baraza...
  9. ndiyomkuusana

    Mechi ya Azam na kitayoce irudie, hawa jamaa sio wepesi

    ndiyo linakuja insu ya fei toto kuitwa TIMU YA TAIFA
  10. ndiyomkuusana

    Hatimaye nimekata tamaa ya kujifunza Hacking nachokiexperience sio nilichokidhania

    kwanza lazima ujue hacking.ni.Technics ,then hacking ni illegal, wewe unachotakiwa kujifunza ni Ethical hacking. hichi ndicho unafundishwa, na kipo legally kufundishwa. hatua za hacking . tunaanzia Footprinting, Scanning, penetration, stealing of information . penetration na stealing of...
  11. ndiyomkuusana

    Wajua japo Rais ni sehemu ya Bunge, bado hana mamlaka ya kuliingilia Bunge? Ili kufuta IGA ya DPW, Rais anapaswa kulivunja Bunge?

    Wewe ndiyo hujui katiba, Baraza la maaakofu, wamenshauri Rais Afute mkataba wa DPW. Kama kanuni unasema ili Raisi afite mkataba ,Jambo la kwanza Ni kuvunja Binge, Ni Sawa. Baraza halijakataa hiyo process ya kuvunja Binge, Binge livunjwe, mkataba ufutwe , process zianze upwa
  12. ndiyomkuusana

    Waraka wa Maaskofu Katoliki kusomwa na makanisa yote nchini kesho Agosti 21, 2023

    Sasa hapa mkuu umeongelea Nini, Mimi nilikuwa nafikiri insu ya bandari, nisukilizie mawazo yako.Toa maoni yako
  13. ndiyomkuusana

    Karibu tukujengee mtambo wa Biogas

    Familia ya watu watano, munafuga mifugo yoyote? Kwa sababu tunataka kujua main source ya mbolea utakayoitumia kuzalisha gesi
  14. ndiyomkuusana

    Karibu tukujengee mtambo wa Biogas

    KARIBU TUKUWEKEE Mitambo ya kwa ajili ya matumizi ya kupikia kwa nyumbani, Ofisini, Mashuleni na Taasisi mbalimbali. Mitambo hii ya Biogas inatokana na Vinyesi vya Wanyama wote na ndege(kuku) pamoja na mabaki ya vyakula. Tutakujengea mtambo wa Biogas kulingana na mahitaji yako. Pia kama una...
  15. ndiyomkuusana

    Fiston Mayele tumepigwa mchana kweupe

    Leo nimekutumia Kaka, Fiston mayele
  16. ndiyomkuusana

    Karibu tukujengee mtambo wa Biogas

    Kuzingua Kivip, wakati hata serikali inahimiza nishsti mbadsla na baadhi ya shule za serikali tumewajengea Mitambo Kama hii
Back
Top Bottom