Search results

  1. F

    Kejeli za Serikali ya CCM Zitamalizwa na Wananchi kuunga mkono CDM, sio vyama vya upinzani kuungana

    we unaweza mkomboa nani kwa mfano? ikomboe familia yako kwanza kutoka kwenye umasikini
  2. F

    JK ashaozesha mwanae, tegemeeni baraza jipya Next week

    hawatowaacha huru na mambo yenu wayahudi na manaswara mpaka mfuate mila zao na wanachoonyesha kwenye sura zao sio walichoficha kwenye nyoyo zao kwahiyo usipoteze muda bro hao tunawajua kuliko wanavyotujua
  3. F

    Lema, Nassari kufunika kesho Arusha!!!

    Wachaga for life
  4. F

    Sisi Watanzania ni wanafiki sana

    Wewe ndo mnafiki nani asiyewajua nyie wenye chuki na uislam pamoja na waislam wameuawa mitume itakuwa Ponda.
  5. F

    Ponda: Serikali haiwezi kunifunga mdomo

    Kweli kabisa mwenyezi amesema hawatowaacha hao mayahudi na manaswara mpake mfuate mila zao na wanawahofia waislam kuliko wanavyomuogopa mwenyezi mungu.
  6. F

    Dr. Ulimboka azimwa

    None of ya'll can take care of his family zaidi ya kumjaza upepo halafu mwisho wa siku kila mtu na maisha yake.
  7. F

    Chadema wanapata ruzuku kutoka nje ya nchi?

    hahahahah kweli mkuki kwa nguruwe ila tutafika tu
  8. F

    Zitto afichua ufisadi wa TANESCO na Symbion, kwa siku mil.152 zinapotea!

    nawashangaa sana watu wanaomponda Zitto wakati ni mmoja wa viongozi aliyechangia umaarufu wa CDM kwa kufichua maovu mbalimbali hii inanifanya niamini kuwa wengi wa watu wanaojifanya wazalendo humu JF hawana lolote zaidi ya chuki binafsi na majungu
Back
Top Bottom