Search results

  1. Usedcountrynewpipo

    Four cylinder Vs six cylinder

    Injini ya six inazunguka mizunguko michache kuliko engine ya four katika kukamilisha mzunguko mmoja wa crankshaft...
  2. Usedcountrynewpipo

    Msaada: jinsi ya kuwalea kuku wa kisasa kwa njia za kienyeji

    Maandiko yanasema, "mlee mtoto katika njia ya Bwana, naye hataiacha hata akiwa mzee". That means kuku wa kisasa 'ukimlea' kwa njia za kienyeji tangu akiwa mdogo atazoea pia kujitafutia akiwa 'mtu mzima'. Kwa maelezo zaidi mtafute mtu humu anajiita 'kuku mdogo'...
  3. Usedcountrynewpipo

    Picha ya Salum Mwalimu baada ya kukamatwa kwa Uchochezi Shinyanga

    Jmaa alikuwa na ajira yake nzuuri tu pale Voda.. Wanasiasa wamemrubuni na kumuingiza kwenye harakati.. Sasa anasomeshwa namba....
  4. Usedcountrynewpipo

    Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    Pole.. Mwamkw ni kama mtt.. Inafaa kwenda naye pole pole.
  5. Usedcountrynewpipo

    Ndoa yangu imekuwa mwiba, nisaidieni jamani

    Huyo atakuwa keshapata hawara na kampiga juju.. Cha muhimu funga na kuomba Mwenyezi Mungu amfungue...
  6. Usedcountrynewpipo

    Mke wa mtu ananiomba niwe hawara wake

    Sikiliza maombi ya mwanaume mwenzako kama amekuangukia na kukuomba kistaarabu.. Ila kama amekutukana mgongee...
  7. Usedcountrynewpipo

    Kozi ya Bachelor of Logistics and Transport management ina ajira kwa sasa???

    We c umeulizia ajira? Ndo ajira zenyewe zinazopatikana.. Treni, meli, ndege nk vyote vishakufa sa utafanya wapi hiyo logistics?
  8. Usedcountrynewpipo

    Labda uwe umeoana na samaki

    Yamekufika hapaaa! :rolleyes::rolleyes:
  9. Usedcountrynewpipo

    Nishaurini nifanyeje mpenzi wangu wa huko Tanzania asiniache maana nipo nje kikazi

    Usiwe na shaka.. Vijana wenzako wanakusaidia kukutunzia...
  10. Usedcountrynewpipo

    Napata wasiwasi na shule anayosoma kijana wangu

    Hapo wote wako sawa.. Mwalimu yuko sawa na mwanao yuko sawa.. Tofauti iko kwenye swali gani limeulizwa...
  11. Usedcountrynewpipo

    Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

    Mkuu.. Inawezekana kabisa ukawa na ugonjwa wa Insomnia.... Huu ni ugonjwa wa kukosa usingizi.. Kuna dawa za vidonge kama tryptilyne zinaweza kukusaidia ukapata usingizi...
  12. Usedcountrynewpipo

    Nimeliona basi la kampuni ya City Boy, Kampuni ilifungiwa kwa uzembe wa madereva

    Yatakuwa yamefunguliwa.. Kwani hukumu yao ilisomeka kuwa ni kifungo cha maisha?
  13. Usedcountrynewpipo

    Access bank wamenipa mkopo, msaada baa ipi Sinza ina wanawake wakali?

    Njoo hapa Mabibo External.. Kuna kiwanja kipya nadhani panaitwa London bridge.. Pana mbuzi watamu pale hutojutia matumizi ya mkopo wako katu...
  14. Usedcountrynewpipo

    NEMC pitieni na gereza la Segerea, yale 'makimba' yao yanatoa harufu kali!

    Mabwawa ya maji taka ya gereza la Segerea yako karibu kabisa na barabara iendayo Kinyerezi.. Mbaya zaidi haya mabwawa ya maji taka yako karibu na mto na cha kusikitisha, haya mabwawa yanaonekana yamejaa hadi kuvuka kingo zake na kutuama kwenye kabonde kitu ambacho mvua ikija huenda yakasombwa na...
Back
Top Bottom