Search results

  1. Q

    Yanayojiri kwenye usail wa sensa

    jamani wana jf naomba mnijuze kitu kimoja eti nimesikia majina yaliyobandikwa leo kwenye kata kwa ajili ya usaili eti yatachakachuliwa tena nakutolewa mengine baada ya ck tatu wakati kuna watu waliokuja wakakosa majina yao kwanini wafanye kazi mara mbilimbili inamaana mtu kafika kaona jina lake...
  2. Q

    Yanayojiri kwenye usail wa sensa

    watu wa mkoani msijali mazee kwani hakuna ishu kwenye usail wanaangalia vyeti vyako tu na unaandika jina kwenye karatasi iliyoandaliwa na wanakuuliza ulisoma wapi na ulimaliza mwaka gani bac.
  3. Q

    kwa walioomba kazi ya muda ya sensa

    mim binafsi nmesikia majina yanatoka tarehe 3 ijumaa na yanabandikwa office za kata.
Back
Top Bottom