Search results

  1. S

    Semina ubungo plaza

    Unajua jamaa alipoona kila mtu anasema mimi flan niko mwaka fulani na nasomea kitu fulani! Akajua ndio mtiririko huo aka formula!!
  2. S

    Semina ubungo plaza

    Hahahahaaaaaaaa
  3. S

    Semina ubungo plaza

    SEMINA UBUNGO PLAZA.. Watu wakaanza kujitambulisha, Wa1:Mimi naitwa John niko UDOM mwaka wa 2, nasoma LAW,, Wa 2: Mimi naitwa Stella niko UDSM mwaka wa 3 nasoma PUBLIC RELATION,,,Wa3: kwa kusuasua sana huku akijishtukia,, Mimi naitwa Paul niko TANESCO mwaka wa4 nasoma MITA...
  4. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mapema ni jina la jamaa anayeshindwa kumridhisha mwenzie, akiingia tu kamaliza.
  5. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Umenimanya ni Kilugha kiswahili au kiingereza ndio mpango mzima
  6. S

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Star TV upuuzi mtupu hakuna jipya TV za bongo
Back
Top Bottom