Search results

  1. D

    Waalimu kuboreshewa mishahara

    Mdau hakuna kitu kama hicho wakurugenzi sio wadau kwa hilo
  2. D

    KIBANDA: Kwa JK uzushi, kwa wengine kashfa!

    Hongera sana jembe mungu yu pamoja nawe
  3. D

    Said Salim Bakhresa akamata nafasi ya 30 katika orodha ya watu matajiri 40 barani Afrika – Forbes

    Je? nimlipa kodi mzuri, records zake za kulipa kodi zinasemaje?
  4. D

    Ni huko wilayani Namtumbo.

    ukistajabu ya musa utaona ya filauni
  5. D

    Sababu za walimu kukosa zoezi la sensa hizi hapa

    Nawashukuru wachangiaji wenzangu waliopita.kwa mtazamo wangu, serikali ya CCM ndo ipo kwenye utekelezaji wa ilani ya chama ya kutengeneza ajila million moja ambazo iliahidi wakati wa kampeni 2010 hivyo basi hao magradute na six leavers ndo wameshapata ajila wasitegemee tena ajila nyingine hadi...
  6. D

    Sababu za walimu kukosa zoezi la sensa hizi hapa

    Nawashukuru wachangiaji wenzangu waliopita.kwa mtazamo wangu, serikali ya CCM ndo ipo kwenye utekelezaji wa ilani ya chama ya kutengeneza ajila million moja ambazo iliahidi wakati wa kampeni 2010 hivyo basi hao magradute na six leavers ndo wameshapata ajila wasitegemee tena ajila nyingine hadi...
  7. D

    Chajenga nchi sasa cha filisika kisera

    Katika hali isiyo ya kawaida kiongozi mwandamizi wa chama cha kijani alionekana akikosoa madudu ya chama kikuu pinzani kuwa wanawadanganya wananchi kwa kuwachangisha pesa wakati sio kweli chama hicho kinapata pesa nyingi kutoka kwa wafadhili,kwa mtazamo wangu chama hiki sasa kinafilisika...
  8. D

    Several Kenyan Women from PCEA church THIKA killed in Tanga,Tanzania Accident

    Poleni sana ndungu zetu wa Kenya kwa kuwapoteza dada zetu,kaka zetu,mama zetu na baba zetu, mungu aziweke roho za marehemu mahali pema peponi amen
  9. D

    Hotuba ya JK mwisho wa mwezi julai

    Hivikaribuni Rais wa jumuhuri ya muungano wa Tanzania alilihutubia taifa kwa staili yake kwa kupitia waandishi wa habari. Tunampongeza sana rais wetu kwa utaratibuwake huo aliojiwekea.pamoja na mambo mengine aliyoyazungumzia pia aligusia mgomo wa walimu uliolimbima nchi mzama.Tunampongeza sana...
  10. D

    Walimu walioshiriki mgomo waenguliwa kwenye zoezi la sensa

    kitu kingine nachofahamu katika serikali iliyopo madarakani haipo makini kwasababu mgomo wa walimu haukuwa na usiano na sensa you can lie people sometime but not all the time. time will tell
  11. D

    Walimu walioshiriki mgomo waenguliwa kwenye zoezi la sensa

    Manispaa moja huku kusini,walimu walio wengi hawakuchanuliwa,ila madiwa ndungu zao,watoto wao, watendaji na wapiga kura wao wameja katika zoezi hili la sensa,rushwa kwa sana,subirini madudu ya sensa mwaka huu.
  12. D

    Zitto afichua ufisadi wa TANESCO na Symbion, kwa siku mil.152 zinapotea!

    sawa jembe letu wapewape wamezoea
  13. D

    Mbunge,mchungaji LWAKATARE aumbuka bungeni

    kufika mbinguni ni issue
Back
Top Bottom