Search results

  1. Matata255

    Maelezo binafsi ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya tuhuma za rushwa kwa Umma

    Kumbe uliona mbali ndg yangu..angefuata ushauri wako wako wala yasingemfika.
  2. Matata255

    Ndugu zangu wa ACT mmeanza kuomba michango mapema mno, kwa mtindo huu watu watasita

    Ndugu Mzalendo, Mkutano Mkuu wa ACT- Tanzania litakuwa ni tukio la kipekee na la aina yake. Ili kufanikisha, tafadhali tunaomba mchango wako kadri utakavyoweza. Tuma mchango wako kupitia: NMB, A/C No. 22610004083, Jina la A/C: ACT - TANZANIA. Au M-pesa: 0763463740 - ACT TANZANIA na Tigopesa...
  3. Matata255

    Missed call ya shemeji

    Mtunzi we noma!
  4. Matata255

    Matusi ya mke yamenikimbiza nyumba

    Mtunzi mzuri sana ww.
  5. Matata255

    Suzuki escudo 2005 vs Nissan Murano

    Ndugu Suzuki ni gari ya heshima sana binafsi naipenda mno..na bei yake imechangamka mchezo...murano kuanzia mwonekano ovyo..afu umeme mwingi.
  6. Matata255

    Mashine za kutotolea vifaranga vya kuku

    ni pm your contact tuwacliane
  7. Matata255

    Mashine za kutotolea vifaranga vya kuku

    ndugu umewahi kutumia mashine inayotengenezwa na hao jamaa?
  8. Matata255

    Mashine za kutotolea vifaranga

    Poleni na majukumu wanajamvi. Naomba kuuliza kama kuna ambaye amewahi kutumia mashine za kutotolea(INCUBATOR MACHINES) zinazotengenezwa na KAPARATA ENGINEERING.Je ni nzuri? Ufanisi wake ukoje?
  9. Matata255

    Mambo ambayo wanaume tunakosea wakati wa kutongoza

    TECNO tecno tu mzee kama phantom ndo kubwa jingaaaaaa
  10. Matata255

    Nahitaji simu used ya kununua

    daisa ncheki nna samsung galaxy s1 bt nauza 250000 haipungui..kama uko serious niPM.
  11. Matata255

    WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

    wewe ndo mdini, jaribu kufikiri vizuri uwe na mtazamo tofauti wenye kuleta tija na usiseme u are enlightened sisi ndo tunaona kama upo hivo au lah.THINK BIG.
  12. Matata255

    Kwa madereva, tunaomba jibu!

    pia kama kwenye lane ya kushoto mwa B hakuna kitumia barabara chochote, B na C wanaeza kupita simultaneously.
  13. Matata255

    Kwa madereva, tunaomba jibu!

    toa kipaumbele kwa walioko kulia kwako i.e B atakua wa mwisho
  14. Matata255

    Kwa madereva, tunaomba jibu!

    B kwasababu hawezi kupita 'lane' isiyo yake bila ruhusa au isiwe na magari yanayopita kwa muda huo...
  15. Matata255

    Lema: Zitto Nipe Majina ya wezi walioficha pesa Uswisi niwataje, kama wewe unaogopa kuwataja.

    Zitto mnafiki sana msanii mno...............amelikoroga na aliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.................... Tatizo alijiamini sana akidhani hakuna wa kumrekebisha.
  16. Matata255

    Anayetumiwa na CHADEMA kuvujisha SIRI za wateja wa TIGO huyu hapa

    Niaminije kuwa unachokisema ni kweli???? CHADEMA hawawezi kufanya upuuzi kama huo nyie pikeni kashfa zenu mkidhania tutawaunga mkono.
Back
Top Bottom