Search results

  1. Leembaswagger

    Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

    @Thebold usisahau kunitag ukiandika huu uzi mkuu.
  2. Leembaswagger

    Mjadala: Kipi bora kati ya kwenda Chuo au Advance Level (Kidato cha Tano na cha sita) kwa mwanafuzi aliyemaliza Kidato cha Nne?

    Mkuu @johnsonkazimoto Jaribu kwenda wizarani uombe kubadilishiwa (kupangiwa chuo badala ya shule),au kama unaweza kulipia subiri tu selection za NACTE kwa ufaulu huo utapata. Chuo ni option nzuri kuliko Advance
  3. Leembaswagger

    Picha za Viwanja 10 vya ndege vilivyo mbali zaidi na Miji Duniani..

    Hujatuambia kuhusu reliability ya usafiri huko ukicompare na huku kwetu.
  4. Leembaswagger

    Daraja la NSSF Kigamboni ndio karavati?

    Mkuu Obuma, Kama kweli alimaanisha hivyo,inamaana alifanya unafiki kulisifia siku aliyolizindua???
  5. Leembaswagger

    Serikali yaruhusu darasa la saba kujiunga na chuo Kikuu wakitaka

    Mkuu mzalendo15, Katika RPL kigezo sio kingereza,ni ujuzi wa fani unayotaka shahada yake,na uzoefu wa kazi katika kada hiyo,ingawa kingereza kinatajwa kuwa moja ya vigezo vya kufanya mitihani hiyo
  6. Leembaswagger

    Aliyemtukana Mtume kuadhibiwa kifo nchini Mauritania

    Kwani amehukumiwa na waislam?? Just to know... Cc: jd41
  7. Leembaswagger

    Wabunge wapinga billlioni 6 kurejeshwa Serikalini

    Balance carried down (balance c/d) is the balance brought down/brought forward (balance b/d) next year... Cc Usedcountrynewpipo
  8. Leembaswagger

    Childishness and Predictability in Korean Series

    Tafuta setup zake uinstall kwenye PC yako, me nliidownload tu, hata ukiisearch google utaipata mkuu komeka Ni downloader nzuri sana, kokote kwenye video inakupa option ya kuidownload
  9. Leembaswagger

    Childishness and Predictability in Korean Series

    Internet Download Manager
  10. Leembaswagger

    Msaada kuhusu specification za tablet na kununua bidhaa online

    Habari zenu wanajamvi,poleni na kazi. Nimebook tablet aina ya AJO Jumbo 11 tablet katika kampuni ya kaymu, naomba msaada wa specification za tab hiyo kama yupo anaeijua,pia usalama wa pesa yangu endapo ntaamua kuilipia kwa sababu mimi nipo mkoani,je shipping system yao ni salama?
  11. Leembaswagger

    Kwa nini tairi za gari ni nyeusi?

    Ulisoma kipande nini?,hujaona hii "At a particular temperature the black body would emit the maximum amount of energy possible for that temperature".
  12. Leembaswagger

    Msaada tatizo la laptop kuzima mara kwa mara

    Thank you mkuu mandella kwa msaada,ngoja niufanyie kazi ushauri wako. Shukran sana.
  13. Leembaswagger

    Kwa nini tairi za gari ni nyeusi?

    Nipo sahihi mkuu Anheuser,moja ya sifa za black body yoyote ni hiyo,huwa ina absorb 100% ya heat na ni good radiator pia. Soma zaidi hapa Blackbody Radiation
  14. Leembaswagger

    Kwa nini tairi za gari ni nyeusi?

    A black body is a good absorber and a good ratiator of heat
  15. Leembaswagger

    Msaada tatizo la laptop kuzima mara kwa mara

    Thanks kwa response ndugu @WAHEED SUDAY na @6'sben,ila feni nimeiangalia vizuri inafanya kazi vizuri,in addition nikainunulia na Cooler Pad ambayo inaisaidia Computer kupoa vizuri.
  16. Leembaswagger

    Msaada tatizo la laptop kuzima mara kwa mara

    Habari za jioni wanajukwaa,laptop yangu aina ya dell inspiron n5040 hivi karibuni imeanza tabia ya kujizima ninapokuwa naitumia. Huwa kama inataka kustack then inazimika,ikishazima nikijaribu kuiwasha kwa muda huohuo huwa inaniambia "your PC run into problems,preparing automatic repair". Mara...
  17. Leembaswagger

    Wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Mwenge-Moshi wamesimamishwa Masomo kwa sababu za kiimani!

    Najaribu kujenga picha ingekuwaje kama wanafunzi hawa wangedisco MUM kwa sababu hii,inekuwa ni talk of the town ila hadi wenyewe kwa wenyewe???
  18. Leembaswagger

    Kujengea makaburi ya Waliotutangulia - Kuna umuhimu wowote?

    Hii ni point ya msingi sana ambayo hata mm huwa najiuliza kila siku,ukijenga kawaida tu ni dhahiri kuwa linaweza kuonekana na lisipotee tena,hii ya kuweka nakshi za gharama kwangu siipendelei afterall pale mbagala mission huwa wanachimbua na kuiba vilivyomo katika makaburi hayo kila siku
  19. Leembaswagger

    oil sumu A.k.A morden teacher from MKWAWA(MUCE)

    Mkuu Rwankomezi unataka namba ya Raisi wa wapi?,kuna wa manzese,TFF,tandale n.k Me nnayo ya huyu wa jamhuri tu ambayo ni 100,kupiga sio lazima uwe na vocha
Back
Top Bottom