Search results

  1. K

    JOHN MNYIKA: Salamu Za Mshikamano Kuunga Mkono Maandamano Ya Wadau Wa Habari

    Naamini ukweli utamweka kila mtu huru!! Kufungia mwanahalisi sio kufungia watu kufikiri hapa serikali inayajaza maji kwenye wavu!
  2. K

    Serikali kuwaondoa Walimu kwenye sensa, sasa kuwatumia Wanavyuo!

    Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa!! Endapo serikali itawazuia walimu kusimamia sensa basi inajipalia mkaa,maanake gharama za kupata trainees ni kubwa pengine kuliko wanachodai walimu! Hapo kuna sense gani?
  3. K

    Hakika spika Makinda hajamwelewa Tundu Lissu.

    Natamani Mwl.Nyerere afufuke asimamie maadili ya viongozi.Jambo la conflict of interest linawatesa Watanzania wengi.Viongozi wa umma ambao ndio wasimamizi wa mali/maslahi ya umma ndio wafanyabiashara wakubwa na hao hao ndio wenye tenda nyingi katika mashirika ya umma.Kutokana hali hiyo kiongozi...
Back
Top Bottom