Search results

  1. M

    Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

    Binafsi nimefedheheshwa sana na kilichotokea. Inajulikana wazi kuwa huyu jamaa amehost hii blog USA kama tunamkataba wa kuzuia Ughaidi na Marekani kwa nini tusiutumie kumsaka huyu mtu? Anachofanya Ze Utamu ni ughaidi wa kifikra, hakikubaliki na jamii yeyote hakuna uhuru wa kujieleza wa namna...
  2. M

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Nisaidieni nawekaje picha na Signature?
  3. M

    Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

    Kuna kila sababu ya kujivunia umoja tulionao na ndio maana hata hapa mpo na hakuna anayejua nchangiaji gani ni kabila gani? Angalia ugumu uliopo leo kwa Nchi jirani ya kenya ni Mtaguso wa Kisiasa ambao umechanganyika na kikabila. Mbegu mnayopanda leo itawa cost baadaye.
  4. M

    Wapinzani Chukue Viti vya Ubunge kwanza....

    Nimevutiwa na hii post nikaamua nijiandikishe. Nakubaliana na Mheshimiwa sana hapo, ni kweli kuna kila haja kwa kambi ya Wanasiasa wa Upinzania kulifanyia kzi hili. Ila nakuwa na wasiwasi hasa kwa suala moja ambalo kwangu nahisi ni kikwazo kwa Wapinzani. Suala lenyewe ni kuhusu RUZUKU...
Back
Top Bottom