Search results

  1. Revolution

    Vitu vya kuanza navyo kuchochea safari ya kutajirika mapema

    Hiyo namba 4 ni mimi kabisa! Yaani hela kidogo akili haitulii kabisa. Zikiisha ndio akili inarudi back to normal
  2. Revolution

    Aibu nyingine kubwa kwa Israel

    Hawa Supporters wa Israel wanafikiri Israel ni miungu watu. Shenzi zao!!
  3. Revolution

    Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

    Nchi hii Viongozi hawatufai. Sijui kama wanaingia huku na kuona namna wananchi wanavyowatazama. Kuwajibishana ni MSAMIATI mgumu sana!! Hivi ni kwanini? Au watu wanakula pamoja!!? Kwanini Tunashindwa kuwajibishana?? Eeh Mwenyeezimungu Mwingi wa Rehma ninakuomba uwawajibishe Viongozi wabadhirifu...
  4. Revolution

    Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

    Mimi siku nikiwa kiongozi wa nchi hii ningewatumia Wakaguzi vizuri! Ningewa remunerate vizuri sana kuliko rates za perdiem kisha ningewaasa wawe waadilifu na wafanye ukaguzi wa kweli na wa haki. Kisha ningetumia matokeo ya ukaguzi kupeleka wabadhirifu kwenye mahakama ya wahujumu uchumi...
  5. Revolution

    Wale wenye tukio la kusahau tukutane hapa

    Mimi nimesoma mada hapo juu nilipotaka kuelezea tu, nikasahau mada hapo juu inaongelea nini vile?
  6. Revolution

    Nimemsikiliza Mayele kupitia Youtube Channel ya Azam TV, nadhani ana shida mahala

    Trust me akitoka Pyramids hawezi pata timu ya level hiyo au level ya Yanga...atashuka kidogo.
  7. Revolution

    Azam TV jitokezeeni hadharani Muwaombe radhi viongozi wa Yanga Sc, mashabiki na wadau wa mpira kwa interview ya Fiston Mayele mliyoiyoifuta

    Mayele mpira umemshinda anaungana na wenzake wa azam na simba kuinanga Yanga.
  8. Revolution

    SCREENSHOTS: Wimbo gani unasikiliza sasa hivi?

    In my place - coldplay
  9. Revolution

    Nitawahadithia watoto wangu na wajukuu kuwa Yanga ilifika hatua ya nusu fainali baada ya kuitoa Mamelod Sundowns lakini ikafanyiwa hila

    Hivi ndivyo ninavyojua na ndivyo itakavyobaki katika Halmashauri ya Kichwa changu. Kwamba Young Africans mwaka 2023-2024 walishiriki CAF CC na kufika hatua ya nusu fainali kwa kuifunga timu ya Mamelod Sundowns Goli 1 -0. Timu hiyo ilinyimwa ushindi huo kwa maksudi ya VAR officials kwa...
  10. Revolution

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    You mean to say that from next month TRA and BOT collections accounts will be filled up with so much monies!!?
  11. Revolution

    Kwa hakika jana ni siku ambayo mpira wa Afrika umepoteza mvuto Duniani kote.

    Umepima ukaona 5% ilibaki nje!!? Tumia ubongo wako wakati unaandika.
  12. Revolution

    Wakuu nina wazo

    K si zina utamu huo huo? Au hiyo class ya juu ina ladha ya vanila?
  13. Revolution

    Wakuu nina wazo

    Mimi ninataka nijifunze kwa watu kama hawa demu akiomba hela tu unampa. Mimi kiukweli ni mgumu sana kutoa hela yangu kienyeji enyeji tu. Na hela ikinitoka ninapata homa kabisa na akili inakuwa haikai sawa.
  14. Revolution

    Tetesi: TBC hakukaliki, muda wowote Zuhura Yunus anakuja na mkeka!

    Kabla ya teuzi alikuwa na discpinary issue. Lakini ilikuwa ya kutengenezwa na Ryoba.
  15. Revolution

    Kwa hili la panga pangua viongozi Rais Samia atapoteza mvuto kwa Chama na kwa Wananchi

    Mimi naona hili nalo linachangia hata kuna kipindi aliwahi kuongea, ukinizingua Zuhura anatoa mkeka! Kama sifa vile. Sasa point ambayo mleta mada anayo kwanini wale wanaotenguliwa wanapewa tena nafasi? Mfano Waziri Kindamba na Edwin Mhede. Kama Mhede alishindwa DART anaweza kwenye Unaibu Katibu...
  16. Revolution

    Hii ni Yanga sio Simba, maana ya Kikosi kipana ndio hii! Hakuna Pacome, Aucho na Yao, unatoa sare na Mamelodi iliyokamilika kila idara

    Ahsante umeongea nilichoongea. Hawawezi kuelewa hawa kenge walioko kwenye msafara wa mamba.
  17. Revolution

    Hii ni Yanga sio Simba, maana ya Kikosi kipana ndio hii! Hakuna Pacome, Aucho na Yao, unatoa sare na Mamelodi iliyokamilika kila idara

    Possession ya Mamelod ilikuwa ni mipira ya nyuma walihold sana mpira nyuma na kwasababu hatukufanya pressing ya kutosha. Hatukufanya pressing kwasababu Mamelod ni wakubwa wenzetu huwezi kuwaendea kwa papara. Lakini sio kwamba walipossess labda kwa kuupiga mwingi kila kona.
  18. Revolution

    Tetesi: TBC hakukaliki, muda wowote Zuhura Yunus anakuja na mkeka!

    Hivi Ryoba bado yupo hapo? Kuna kipindi alilalamikiwa sana akaanza kuwashughulikia watumishi, mmoja wapo ni GZ alishughulikiwa ipasavyo.
  19. Revolution

    Mamba huyu mamba gani, mbona hawezi kung'ata?

    NYUMBU WANAJUA MAMBA KAWARUHUSU KULA BILA KUVIMBIWA. HIVYO WANASHINDANA KULA BILA KIKOMO.
Back
Top Bottom