Search results

  1. M

    Tatizo ni bodi au wizara ya elimu?

    Ni vizuri ikakumbukwa kuwa miongozo inayotekelezwa na mashirika inapata idhini kutoka kwa Wizara inayosimamia shirika hilo. Hivyo inawezekana Bodi inalaumiwa ki makosa kwani hawawezi kujiamulia kubadili utaratibu bila kuihusisha wizara. Mimi najiuliza, kwanini mwaka huu? mbona miaka...
  2. M

    Katiba inayopendekezwa imezingatia maslahi ya umma, hoja za kuikataa hazina mashiko

    Ndugu uliyeanzisha hoja hii vifungu ulivyonukuu vinapatikana katika SURA YA PILI YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA. Lakini umenukuu kipengele kinachotoa malengo hayo ambayo serikali itatakiwa kuyatekeleza, lakini umesahau kuwa mambo yaliyotajwa katika sura hii hayatadaiwa mahari popote....yaani kwa...
  3. M

    Sumatra wahurumieni abilia barabara ya Ubungo-Mwenge

    Inapofika saa 12 asubuhi wasafiri wanaotumia barabara ya Mandela na Samnujoma kuja mwenge utawaonea hururma jinsi wanavyohangaika kupata usafiri.Abiria wanaounganisha kuja Mwenge kutoka maeneo ya gereji,external,mabibo hostel na riverside wamelazimika kutembea kutoka riverside hadi either Sim...
  4. M

    Nini kifanyike kuongeza ufaulu wa somo la Hesabu

    Somo la Hisabati kama linavyofahamika ktk shule za msingi si somo gumu, lakini ni somo ambalo ili mwanafunzi alifauru ni lazima alipende. Kwa wanfunzi kupenda somo kunajengwa na sababu nyingi. Nitazitaja chache tu 1. Mwl anayemfundisha mtoto katka madarasa ya awali(darasa la I, II na III). Awe...
  5. M

    Rasimu ya Katiba inayopendekezwa 2014

    Je kwa kifungu hiki kweli Rais akitenda sivyo Bunge litaweza kumuwajibisha?
  6. M

    Rasimu ya Katiba inayopendekezwa 2014

    94.-(1) Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani endapo itatolewa hoja ya kumshtaki Rais na ikapitishwa kwa mujibu wa masharti ya Ibara hii. (2) Bila kuathiri masharti mengineyo ya Ibara hii, hoja yoyote ya kumshtaki Rais haitatolewa isipokuwa tu kama itadaiwa kwamba Rais...
  7. M

    Ogopeni kusoma kombi dhaifu

    HUU NI UTOTO WA KIFIKRA: Mwanzisha mada anapaswa kujiuliza maswali haya kabla hajaleta hoja yake hii; 1. Kwanini vijana wengi wanasoma hizo combination 2. Kwanini serikali ilianzisha combination hizo 3. Je kuna mazingira rafiki ktk shule zetu yanayoruhusu wanafunzi kusoma hizo combination...
  8. M

    Special program of Diploma in Education UDOM mbona kimya?

    Selection bado mkuu! Vp mkopo umeomba?
  9. M

    Mtu aliechukua combination ya EGM, kozi gani nzuri kwenye ajira?

    Soma Bachelor of education(mathematics) uwe gwiji la Hesabu
  10. M

    Naomba ushauri kat ya EGM na CBG ipi mnanishauri nikaisome a-level?

    Nakushauri kama O-level ulikuwa unaiweza Chemistry na Bios, uende kusoma CBG. Coz ukimaliza, hata ukipata div 3 unaweza kusoma pharmacy au coz ingine ya afya! Never lose CBG
  11. M

    Ushauri kwa wadogo zangu form v 2014/15

    Hongereni wadogo zangu kwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano maana huo ndio mwanzo wa mafanikio. Ushauri wangu kwenu, daraja mnaloingia sasa ndipo unapoweza kutengeneza au kuharibu maisha; ninamaana ukifeli umefuta historia yako yote ya awali. Hivyo mnapaswa kujitahidi kwa kila hali...
  12. M

    Top 10 Best secondary schools of all time in Tanzania

    Saau Mwakaleli wewe angalia sana! Wazeee wa free entry and exit.
  13. M

    HESLB remained being a new topic,TCU bye and have good time.

    Mwacheni huyo anayelaumu heslb hajui alifanyalo, mpaka sasa bado kuna watu hawajaisha kufanya marekebisho kwenye fomu zao. Mi nimeenda jmosi pale nimekuta eti kuna watu wanabembeleza waruhusiwe kurekebisha kasoro zao richa ya kuwa muda umeshapita, so jamaa bwana bado wanahuruma sana wangeamua...
  14. M

    Wahitimu wa Kidato cha Sita Tumeni Maombi Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Jamani mi leo nimekwenda mguu kwa mguu mpaka HESLB maswali yote mnayoongelea nimeuliza. Ni kweli wahitimu wote wa f6 lazima tuombe mkopo kabla ya tarehe 30.06.2013, baada ya hapo maombi yatafungwa na hawataongeza muda isipokuwa kwa wale waliokwenye mafunzo ya jeshi. Pia kwenye ujazaji wa fm zao...
  15. M

    Barua ya Loan Board Kuna aliyepata?

    Mtu yeyote anayebisha au kukwepa kulipa mkopo,huyo ni msaliti. Mimi nilisoma miaka ya zamani lakini kwa sasa ninavojua ukilipa mkopo unampa nafasi mtoto wa maskini mwingine kupewa hizo pesa ambazo utakuwa umerudisha. Jamani hakuna haja ya kuwasema na kuwatukana mafisadi kama sisi wenyewe hatuoni...
  16. M

    Barua ya Loan Board Kuna aliyepata?

    Mtu yeyote anayebisha au kukwepa kulipa mkopo,huyo ni msaliti. Mimi nilisoma miaka ya zamani lakini kwa sasa ninavojua ukilipa mkopo unampa nafasi mtoto wa maskini mwingine kupewa hizo pesa ambazo utakuwa umerudisha. Jamani hakuna haja ya kuwasema na kuwatukana mafisadi kama sisi wenyewe hatuoni...
  17. M

    mikopo form 6

    Mjumbe acha kumpotosha mwenzako, jamaa walipotangaza watu waanze kuomba walisema watu wote wanaotarajia kuomba mkopo kwa mwaka wa masomo 2013/14 waanze kuomba,na haijalishi umemaliza f6 lini. Deadline kwa waombaji wote ni tareh 30/06/2013. Baada ya hapo,ambae atakuwa either hajaomba au...
  18. M

    bodi ya mikopo HESLB 2013/2014

    Ona sasa! Hii inaonesha watu wengi hawajifunzi kufanya mambo kwa umakini. Mtu anashindwa kufungua website na kusoma taarifa zinazohitajika pamoja na maelezo,anakuja kuuliza humu jf! Huu ni uvivu wa kusoma na kufikiri. Jamaa wamekuwekea link yao ya www.olas.heslb.go.tz ili uweze kuona vitu...
  19. M

    masikini walimu"waanza tena kujaribu kuibembeleza serikali sikivu"

    Ni kauli nzuri aliyoisema Bw Mukoba,lakini sidhani kama serokali hii sikivu italichukulia suala hilo kwa uzito unaostahil coz inawezekana kwa sasa sio sikivu bali dhaifu ambayo haiwezi kukusanya kodi na kutatua madai lukuki ya walimu kama mishahara na posho. Ngoja kitaeleweka tu,tumeanza na...
Back
Top Bottom