Search results

  1. K

    USHAURI: Rais Samia suluhisho pekee kwa Bandari Tanzania ni hili

    Ndugu zanguni, kwanza kabisa tuelewe inaposemwa bandari hafanyi kazi kwa kasi inayotakiwa maana yake ni nini. Kuna vigezo kadhaa vya kimataifa vinavyopima jambo hili lakini kikubwa kabisa ni kasi ya uingiaji wa meli nchini na kupata gati, kupakua kupakia na kuondoka. Ndio maana kitendo cha meli...
  2. K

    CHADEMA ndani Kwa ndani kunafukuta

    Britannica na kundi lake wanahofia huu muafaka ukupaikana maana utaondoa kabisa relevancy yao
  3. K

    Tunaobeza harakati za Mbowe na wenzake

    Pohamba, si vema kufikia uamuzi huo. Wote hatujui contents za vikao hadi sasa. Huenda moja ya contents ni kuwa taka wakiri na Kuja public kuomba msamaha. Kwa hiyo tuwape muda. Subira yavuta heri japo vijana nyie ni maji ya moto. Sema pia uongozi wa Chadema usichukue muda sana angalau kurudi ku...
  4. K

    Muunganiko wa Sukuma Gang na CHADEMA itaigharimu CCM

    Nilmwambia rafiki yangu kipo Chama kipya kitaanzishwa na mgombea wake atakua yule Balozi mstaafu. Chadema hawatachukua yeyote ila itafaidika na mgawaanyiko mkubwa utakaotokea upande ule. Mark my words
  5. K

    Swali: Kwanini Meli Hupewa Majina ya Kike

    "Our good Lady" ETA- Expected time of Arrival is 19h00. Meli bila kujali ni ya Aina gani zinapewa heshima kubwa sana kwa utumi wao. Meli hubeba mizigo ya u kubwa na uzito wa ajabu ndani ya "matumbo" yao. Hupita njia yenye misukosuko mkubwa hadi kufika ngambo ya pili. Kama tunavyowapa heshima...
  6. K

    Waziri Gwajima afafanua dawa ya asili ya Corona (NIMRCAF), waweza itengeneza mwenyewe nyumbani

    Jibu la kitoto hilo. Mimi Nipo shamba ni mkulima, sinunui na sijawahi kununua chakula dukani. Naanzaje kwanza. Sasa wewe una madini ya simu halafu hutengenezi simu vipi.
  7. K

    Waziri Gwajima afafanua dawa ya asili ya Corona (NIMRCAF), waweza itengeneza mwenyewe nyumbani

    kama madini mnayo mlishindwa nini kutengeneza simu zenu
  8. K

    Uchaguzi 2020 Ofisi ya Rais na Waziri Mkuu, chukueni ilani za vyama vyote, chukueni yale yawezekanayo kufanyiwa kazi haraka yafanyiwe

    Hii ni Mada fikirishi toka kwa mwana JF Aina ya Yehodaya. . Bravo mtoa Mada.
  9. K

    Je, hii ndio siasa tunayopaswa kuwa nayo kama taifa? Magazeti haya hayaguswi

    Hilo gazeti LA Time Observer limeshaigia mtaani au bado. Kama bado editor a wahi kurekebisha lugha ya watu.....Private laboratory. ..sio personal laboratory. Ni law sio low. Kwanza ni observe the law sio follow the low.... maudhui yote ya hili gazeti yatakua na uzito kama hiki kiingereza...
  10. K

    Kama Corona imeisha magari yaruhusiwe kusimamisha abiria, hasa Dar es Salaam

    Maendeleo ya mini ni pamoja na kuwa na usafiri wakiistaarabu kukaa level seat sio kujazana. Jiji liombe uwekezaji binafsi wa mabasi badala ya kurudia acha ya kujaza abiria. School bus binafsi ziruhusiwe nk.
  11. K

    Tundu Lissu, unakuwaje Rais wa nchi bila kukemea Rushwa, bila kuongelea suala la maji, miundombinu na Elimu?

    Lissu hakuwa anaelezea manifesto ya Chama. Mengi kaahidi tutayapata katika kampeni zikianza. Yeye kaanika msingi wa hayo yote uliyoyasema.
  12. K

    Siri iliyofichika nyuma ya Sumaye na Lowassa kurudi tena CCM

    Ungeongea haya kabla ya hawa kuhama ungejipatia hadhi kubwa sana JF. Vinginevyo ni utabiri batili tu... Thinking after!
  13. K

    Kwanini Tundu Lissu ana chuki sana na Rais Magufuli?

    Kwa kosa la kushauri njia bora ya kuvunja mikataba ya madini au kuna lingine
  14. K

    Kwanini Tundu Lissu ana chuki sana na Rais Magufuli?

    Risasi 38?? Nadhani kungekua na pole ya dhatina taarifa ya uchunguzi hadharani Lissu angesema Hewala Mungu atamlipia Duh, Binadamu wa leo
  15. K

    Ubadhirifu wa USD 400,000 za Sekta ya Afya: Philip Mpango alikuwa wapi mpaka aambiwe na Global Fund wenyewe?

    Pascal Mayalla, Pascal, point sio MOF imepiga, point ni kuwa haijui kuwa zimepigwa hadi donor anajua na minister hajui.. Mpaka afuatilie. Vipi mzee. Hata mfano wako wa jikoni ni very irrelevant kwenye hii mada. Accountability ya donor funds au local finances sio sawa na matumizi ya jikoni...
  16. K

    Ubadhirifu wa USD 400,000 za Sekta ya Afya: Philip Mpango alikuwa wapi mpaka aambiwe na Global Fund wenyewe?

    Labda umeamua kutania kidogo. Seriously una maanisha donor anamkabidhi Waziri fedha ndio aje kufanya audit Pascal Mayalla, Paskali.. Huyu ni wewe kweli?
Back
Top Bottom