Search results

  1. A

    Simeon Nyachae: Huyu jamaa alikuwa mfanyabiashara hodari sana

    Ila katika hali ya kawaida Cabinet Minister unapata wapi hela zote hizo Kama haukujiinvolve na rushwa na kutafuna hela za wananchi..Hii ndio inafanya Nchi nyingi za kiafrika kuendelea kuwa maskini huku National Cake ikitafunwa na wachache..halafu mtu na akili zako kabisa unakuja kushangilia...
  2. A

    Hadithi: Uchawi wa bilionea Bazoka

    Hatari sana mkuu chilo
  3. A

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Naomba link ya telegram
  4. A

    Msaada: Nahitaji kuelewa kuhusu haya mambo ya ajabu yanayonitokea

    Hujaeleweka bro so ni vigumu kupata msaada unaoutafuta
  5. A

    Kenya in total darkness

    Nilikuwa last week ni kweli jiji lile lina tatizo la umeme..nili experience kukatika kwa umeme more than five kwa siku tatu nilizokaa Nairobi tena prime arears Westlands..
  6. A

    Kwanini Watanzania wako obsessed na Kenya?

    We are in the right track..In 5 years to come Tz itakuwa mbali sana kiuchumi chini ya uongozi wake Jemedari Magufuli...najua wakenya wengi wanatamani Magufuli aanguke kwenye uchaguzi huu coz ameonekana kuwa ni threat kwao. Tunaenda kimya kimya siku mkija kushtuka tutakuwa mbali sana. Naombea...
  7. A

    UK offers work permit to non-graduate Kenyans

    brother acha kupoteza muda kubishana na ha watu..
  8. A

    Mtakubali tu - LG opens first East Africa laundry shop in Nairobi

    bro kishtuka kwa kufungua dry cleaner..u cant be seriousy..
  9. A

    Naibu Waziri wa Maliasili asema kuleni nyama ya Mamba, ni tamu kinoma

    Hii.issue.ya mabucha imekuwa hadithi....kuna kazi kupitisha sheria hizo za uwindaji na kutoa vibali watu waanze.kufanya biashara..kuna mambo mengine yanakera sana sijui wizara inafanya kazi gani kama issue ndogo kama.hizi ambazo rais alishatoa go ahead wanashindwa kuimplement
  10. A

    Najibu Balala: Watanzania lazima wakae 14 days quarantine

    Endeleni kupata shida sisi bongo kama.kawa tunakula bata tu ...HAKUNA CHA KORONA WALA BABA AKE KORONA
  11. A

    St Kitts and Nevis na St Lucia wanatoa Uraia haraka sana na passport zao ni moja zenye nguvu duniani

    Kama una uwezo wa kutoa dola laki moja kwa ajili ya kupata citizenship ni bora hiyo hela ukaiwekeza kwenye biashara ambayo itakulipa mara mbili zaidi ya hapo. ideology ya kwenda nje ya afrika ndio kuwin maisha inatakiwa iondolewe katika vichwa vya watu..tuna kila kitu.. sioni haja ya kwenda...
  12. A

    Bamburi, Kampuni ya saruji Kenya yaongeza faida kwa asilimia 82%

    MK254 unajiabisha brother , jaribu ku consult watu wa hii field sio kujiropokea na kujifanya ujuaji..kama hujui kitu u better shut ur mouth..
  13. A

    Dar es Salaam BRT is a massive failure. What can Nairobi learn?

    Wakati unaendeleza chuki dhidi Tz , sisi tunachapa kazi kwenda mbele, making BRT phase 1 as a pilot study and we are implementing phase 2 of the BRT as well as phas 3 is underway...endeleeni kupiga maneno
  14. A

    Vibwengo ni mizimu au jamii ya majini

    Mkuu nimefuatilia nondo zako aisee nimekukubali unajua vitu na ningetamani kujifunza zaidi juu ya elimu hii ...kutokana na feedback niliyoiona ni watu wengi pia wapo interested katika hili. nina ombi kama hutojali tuwe na ka group ketu whatsapp tuwe tunajifunza juu ya elimu hii hata mara moja...
  15. A

    Kwa madeni haya nchi ya Kenya ishauzwa

    Listen u mbururaz, hapo wamejaribu kuhighlight ndani ya miezi mitatu hivyo ndivyo nchi yenu imekopa..uko hapa unajigamba while mnaumia kimoyo moyo..see the attached recently report of ur country and comments fromur fellow kenyans
  16. A

    Kwa madeni haya nchi ya Kenya ishauzwa

    Hata ukiumia huo ndio ukweli nchi yenu mnapoelekea mtauzwa wote..hapo bado hatujaweka la mchina wa SGR
  17. A

    Kwa madeni haya nchi ya Kenya ishauzwa

    Nchi ya Kenya imekuwa ikijinadi wako vizuri kiuchumi lakini kwa mtirirko huu wa madeni ndani ya kipindi kifupi, tutegemee anguka kubwa la kiuchumi.
  18. A

    Hofu ya Kenya katika akili za Tanzania

    Kuwa namba moja kwa muda inawezekana ila milele haiwezekani. Tz haijalala, endeleeni ku undestimate.
  19. A

    Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

    10 ipoo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom