Search results

  1. B

    Nape amvaa Dr. Slaa

    Kongwa nyumbani mpo uchaguzi huu mbunge ws kongwa kasema hana mpinzani ndani na nje ys chama
  2. B

    Shamba kijaka ekari 6

    Revolution vip umempata mteja wa hili shamba
  3. B

    Laptop PC mpyaaa inauzwa bei ya promotion

    Kijana naona muda wa kodi umefika sasa unasukuma assets. 250000. Nikutafute
  4. B

    Onyo: Jesca Kishoa wa CHADEMA-Iramba,viongozi na chama chako wameshindwa huu mziki

    kuna wakati viongozi wa ccm huwa vihiyo sana, wewe mwigulu na job ndugai ni mifano ya viongozi wenye akili ndogo sana ya utambuzi wa mambo na maendeleo: 1. wananchi wa tanganyika na wa iramba sio mali yako naomba ufute kauli ya kujipa hati milliki ya wananchi wa iramba, ONYO tambua wananchi...
  5. B

    Kongwa yetu kwa maendeleo yetu njoo tuungane tulete maendeleo chanya

    uko pande zipe kamanda maana tunataka kuunganisha nguvu ili tulete mapiduzi ya kifkra
  6. B

    Kongwa yetu kwa maendeleo yetu njoo tuungane tulete maendeleo chanya

    Habari wa jf wa kongwa, Napenda kuchukua nafasi hii kama mwanakongwa niishio Dsm kuwajulisha ndugu wote wapendana maendeleo. Naamini Kongwa itakuwa na maendeleo chanja endapo tukiungana na kushikamana kwa hali na mali ili kuleta maendeleo bila ya woga. Naomba tuungane kwa kila kata ili...
  7. B

    Kongwa kumkucha jamani mikutano ya kutosha ya chadema kazi kwetu

    Wanajamvi wote nawajulisha kuwa kesho kutakuwa na mikutano ya sita katika jimbo la Ndugu JOB NDUGAI lengo ni kuwaeleza wananachi wa Kongwa kuwa haki haibembelezwi ila inatafutwa kwa kupigania; remember this quote, ''POVERTY IS THE PARENT OF REVOLUTION AND CRIME''
  8. B

    Nafasi za udiwani katika jimbo la Kongwa

    Habari wajf, Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015, jimbo la uchugazi la Kongwa lina kata 22 ambazo kwa sasa zote zipo chini ya CCM. sasa kwa wale wote wapenda maendeleo hii ni fursa ya kujitambua, kuthamini na kuchukua hatua ili kujaza nafasi wazi za udiwani katika uchaguzi 2015. maandalizi mapema...
  9. B

    BBC: Rais Kikwete aruhusu Majasusi kutoka nje kuja kuchunguza mauwaji ya Viongozi wa Dini Zanzibar

    haa hapo huwa nakmbuka movie ya 24hours kuna mtu anitwa jack beaur na it guy nannii vile lazima ngoma inoge hata kama rais anahusika atahojiwa tu
  10. B

    Tawi la CHADEMA - Kongwa kwa waishio Dar na Pwani, kwa mapambano

    Tunahitaji mapambano yasiyokuwa na kikomo naombeni wanakongwa tuungane
  11. B

    Tawi la CHADEMA - Kongwa kwa waishio Dar na Pwani, kwa mapambano

    Habari wanajf, habari wanakongwa,rejea na kichwa cha habari, Ndugu wanajamii, wanakongwa tuishio Dar na Pwani, tumekusudia kufungua tawi la CHADEMA hapa mjini kwa ajili ya kuratibu shughuli za kichama kwa wanakongwa waishio Dar na Pwani. Tawi limepewa baraka zote kutoka kwa mwenyekiti wetu...
  12. B

    M4C, tunahitaji jimbo la Kongwa hasa Kongwa mjini, Kibaigwa na Mkoka

    HABARI WANABODI naomba kusaidiwa jamani hii M4C ni kwa ajili ya mikoa mingine tu, vipi kuhusu dodoma? hasa jimbo la kongwa kwani hili ni jimbo jepesi san.a ila tunahitaji nguvu ya makamanda kama lema na joshua samwely nassari na wengineo kuwajengea uwezo vijana na kuwatoa uwoga. naombeni kusaidiwa
  13. B

    Economy growth analysis of Tanganyika since 1961

    Economy growth analysis of Tanganyika since 1961 Enzi za mwalimu kusoma na kupata ajira haikuwa shida kama ilivyo sasa, kwani wanafunzi walikuwa wanatafutwa huko jijini na waliwza kupatiwa fully accomadation allowances kama free transport go and returns n.k Sasa endapo serkali ingeweka mfumo wa...
  14. B

    kazi gepf

    wanajf wale waliopenyeza lupia kwenye oral ya compliance officer.smu ishapigwa?
  15. B

    Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

    nadhan mmesahau asil yake.sifa namba n uwiz 2.jasir kama smba.refer history 4m 2.
  16. B

    any updates of nhif and gepf

    habari wanajamii naomba kujuzwa kama kuna mtu anatarifa za interview ya maongezi baada ya zile za kuandika
  17. B

    Jimbo la Kongwa lina mbunge au kivuli?

    nasikia jamaa anaroho korosho halafu hapendi na htaki kushirikiana na wasomi wa jimbo lake
  18. B

    Jimbo la Kongwa lina mbunge au kivuli?

    ndio anaitwa job yuston ndugai, naibu spika wa bunge la tanzania. biased man? how fafanua kiongoz
  19. B

    Jimbo la Kongwa lina mbunge au kivuli?

    wanajf samahanini sana naomba kujuzwa hivi hili jimbo la Kongwa lina mbunge au kivuli. maana tangu 2010 kushinda hajawahi kuwa na mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi.
Back
Top Bottom