Search results

  1. F

    Baadaya ya JK na Banda kutoa kauli zao leo Kamati kukutana kuhusu mpaka kwenye ziwa Malawi

    I salute you Nikupateje kwani ulichoandika ni kweli kabisa. Binafsi mwanzo niliamini mengi yaliyosemwa na mawaziri wetu lakini niliishiwa nguvu mara baada ya kusoma kwa umakini makala yakisomi ya James Mayall yenye kichwa cha habari 'The Malawi-Tanzania Boundary Dispute' ya December 1973. Ukweli...
  2. F

    Baadaya ya JK na Banda kutoa kauli zao leo Kamati kukutana kuhusu mpaka kwenye ziwa Malawi

    Hilolilijulikana tangu mwanzo na inashangaza kuona viuongozi wetu wanawekeza nguvuzote katika UN Convention. Pengine ni ishara kuwa hata hao wanaotuoongozahawajaielewa vizuri hiyo Convention kwani ndio hiyo hiyo inayosema kuwa mpakautapita katikati ya water body kama hakuna any recognised...
  3. F

    Nauliza kwa nini Agakhan Foundation wanapewa misamaha ya kodi

    Nimeupenda huu mjadala wanaJF. Badala ya kuangalia Agakhan, ni vizuri tukaangalia mbali zaidi. Hata katika huduma ya elimu, kwamfano, ada anayolipa mwanafunzi wa Tumaini Dar kwa kozi za kawaida za Arts mwaka mmoja inakaribia ada anayolipa mwanafunzi wa UDSM kwa miaka miwili na nusu. Pia ni zaidi...
  4. F

    Hizi ni dalili za ugonjwa gani?

    Pole sana mtoa mada ila umewahi kutembea na mume/mke wa mtu?
  5. F

    Malawi Kiboko kwa Intelijensia

    Tusidanganyane hapa jamani. Hii thread haina maana. Ni kama tunataka kulikuza tu suala hili. Hawo watu wanakuja kutembea tu. Sikatai, inawezekana wapo wachache kama ambavyo nasisi tunao kule kwao ila chamsingi, mpaka sasa mimi sioni dalili ya vita. Pamoja na mambo ya Mwabepande, bado naamini...
  6. F

    Joyce Banda: 'We will not go to war with Tanzania...'

    Katika akili zakawaida, hili suala tungewaachia Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na mwenzake Bakili Muluzi walimalize. Ni jambo la kumshukuru Mungu kuwa watu hawa wote wako hai kwani kwapamoja walifanya kazi kubwa sana ya kuyafikisha mahusiano ya nchi hizi mbili katika kilele cha maelewano ya hali ya...
  7. F

    Joyce Banda: 'We will not go to war with Tanzania...'

    Nakubariana nawe Jasusi. Siyo kweli kuwa huyu mama ni mtu wa kisasi. Tatizo la Malawi aliyoirithi huyu mama ni zaidi ya pale tunapofikia sisi watanzania wengi katika uelewa wetu wa mambo yalivyo ndani ya ile nchi. Huyu mama alitengwa kiasi cha kupangiwa njama za kumuua wakati wa utawala wa...
  8. F

    Joyce Banda: I shall die for the land of Malawi!

    Hili ndio kosa la kuzidisha uhuru wa vyombo vya habari. Naamini, Mhariri wa hili gazeti la Nyasa Times atakuwa miongoni mwa watakaofikishwa The Hague pindi Tanzania na Malawi watakapokwenda vitani. Huyu mama yupo katika shughuli ya kimila ambapo kama kiongozi wa serikali, anastahili kusema...
  9. F

    Nimeamua kugive up lakini naumia....

    Achana na utoto. Hakuna mtu hapo. Ukimng'ang'ania atakupasua kichwa zaidi. kutokana na maelezo yako, huyo mtu inaonekana amekaa kibiashara zaidi na siyo wakumuwekea malengo. Kama utataka kurudi kwake, jifunze kujiridhisha kimapenzi pasipo kujiwekea commitments.
  10. F

    Lake Malawi/Nyasa row: Time to show strong leadership

    Kama kunaukweli ndani ya kitabu hiki, basi kazi ipo. Ni dhahiri tumelilea tatizo na Wamalawi wanahaki kuliko sisi kwani imekuwa hivyo tangu mwanzo na sasa wanahisi wananyang'anywa sehemu na nchi yao na Watanzania. Kikitumkia kitabu hiki katika mahakama za kimataifa basi tutaweza kupoteza kama...
  11. F

    Malawi vows to continue oil-gas exploration, dismissing demand by Tanzania which claims half

    Katika hili mimi nakubariana na hoja za wanaosema kuwa hizi ni njama zawazungu wanaotaka waafrika tuuane ili waonyeshe akili zao zakuleta amani. Binafsi sioni sababu za mtu kuzungumzia jeshi hapa labda kama tunataka kuharibu sifa za Jukwaa hili linalibeba theme ya: Home of Great Thinkers...
  12. F

    Nataka Kurudi Tanzania-Ushauri

    Binafsi sioni sababu za mtu aliyekaa Canada kwa miaka mingi eti arudi na kuomba kazi tena hapa Bongo. Nakubariana na wote wanaosema tunza mtaji wakutosha na uje ufungue yako biashara. Hata sisi ndugu zako tutaona umuhimu wa wewe kuishi mbali nasi kwa miaka mingi kama utaweza kuanzisha kibiashara...
  13. F

    Tatizo la Muwasho Sehemu za Siri: Chanzo, Matibabu na Namna ya Kujikinga

    Itakuwa kweli ni fungus na ni lazima mtibiwe wote wawili kwani tiba yake hutolewa kama ya ugonjwa wa zinaa. Chamsingi uangalie mazingira ya choo sehemu mnapoishi au mnapofanyia kazi. Kutokana na maumbile yao, wanawake huathiriwa kiurahisi sana na fungus kama mazingira ya choo hayaridhishi kwa...
Back
Top Bottom