Search results

  1. N

    Yanayojiri mkutano wa taifa vijana, Dodoma...!

    Kazi mnayo ccm sasa wewe upo ndani unalalamika tukusaidiajeeeeeeeee karibu huku nje kuna m4c wala hututoi rushwa ni full raha. Kweli ccm inaeleka mwisho sasa ndugu yangu kama upo ndani na umeona hayo katika ngazi ndogo tu ya uvccm sasa hebu kiuungwana unatwambia nini watanzania kuhusu ccm na...
  2. N

    Uongozi mpya UVCCM: Mwenyekiti ni JUMA SADIFA; Makamu Mwenyekiti ni MBONI MHITA

    kazi mnayo uvccm mana mmendelea kukubali mafisadi wawatawale mana baada ya kuhongwa nao mmekubali
  3. N

    Chadema waitisha serikali hadi kukimbia bungeni

    Mkuu nimeona hiyo yasemekana ni mvutano kati ya seriakli na chadema juu ya mswada wa fedha ambao umeainisha kodi zilizomo katika bidhaaa hivo serikali imeamua kukaa nje ya bunge na chadema na kukubaliana baadhi ya hoja zilizopelekwa na chadema ingawa chadema wameendeleakuibana serikali katika...
  4. N

    Mbunge Msigwa aikwaza CCM kwa kuweka wazi viongozi wa CCM kuhusika na ujangili wanyamapori

    Hapa ndio huwa najiuliza sana kwa wale ambao husema lukuvi ni kiongoza mzalendo wakati ndie bingwa wa kupotosha ukweli na kuficha uovu wa serikali pale anaposimama kidete na kutetea udhaifu wa serikali ya ccm.jamani watanzania tuamke mana hawa jamaa wna mtandao wa kuuza rasilimali zetu ili...
  5. N

    Masonga, Kijana wa CHADEMA aikimbia Njombe na kutoonekana mkutano wa John Heche

    Kijana komaa huhitaji kuwakimbia mafisadi haooooooooooooooooooooooo
Back
Top Bottom