Search results

  1. KGARE

    Car4Sale Gari Toyota Raum inauzwa- Mwanza

    Nimekupata vzr mkuu, hapo ni kuendelea tu kuitumia mwenyewe.
  2. KGARE

    Car4Sale Gari Toyota Raum inauzwa- Mwanza

    Inaonekana ntaendelea kuitumia mwenyewe.
  3. KGARE

    Car4Sale Gari Toyota Raum inauzwa- Mwanza

    Hahahaaà.....
  4. KGARE

    Car4Sale Gari Toyota Raum inauzwa- Mwanza

    Gari Toyota RAUM , ya 1999 inauzwa. Rangi: Zambarau, Milango: 5, Mileage: Km 128,000, Engine size : 1490cc, Airbag: 2 , Automatic transmission, Fuel: Petrol, BEI: 6,000,000- Milioni 6 tu Imetunzwa na iko vizuri sana. PIGA: 0713962628/ 0718481042 MAHALI: MWANZA
  5. KGARE

    NATAFUTA MUUZA DUKA (MiniSupermarket) MWANZA

    Unamaanisha aina ya sigara?
  6. KGARE

    NATAFUTA MUUZA DUKA (MiniSupermarket) MWANZA

    Muuza duka anatafutwa mwenye umri wa miaka kati ya 20-35. SIFA 1. Jinsia yoyote. 2. Awe na uzoefu wa kazi au uwezo wa kujifunza na utashi wa biashara. 3. Awe na Elimu ya sekondari au aliyejie deleza mwenyewe kiakili. 4. Awe na uwezo wa kutumia kompyuta na ajue hesabu za biashara. Awasiliane...
  7. KGARE

    Fyekeo la mishahara ya wafanyakazi laanza na madaktari Hospitali za Rufaa, wakatwa 30% ya mishahara

    Hizi Si tetesi, ni taarifa za ukweli.Umejitahidi kufafanua lkn bado maelezo yanahitajika. Kwa hospitali za rufaa ambazo zinatumia parastatal scale ni Muhimbili na taasisi zake, Ocean road na Bugando...issue iliyoongelewa na katibu mkuu ni kuwa BMC ndio wataondolewa kutoka kwenye hiyo scale na...
  8. KGARE

    Unafikiri wakazi wengi wa Dar wana madudu gani Kichwani?

    Jamani hemu tuanze kufikiri kimapinduzi kama nchi.Matatizo hayakimbiwi, yanakabiliwa.Kuwaambia wananchi wahame ni uvivu wa kufikiri na ni kukimbia tatizo sio kulitatua. Kama nchi ikipaswa iweke miundombinu kuwezesha watu waishi vizuri mahali walipo.Kwanza hata jangwani ni eneo zuri kabisa la...
  9. KGARE

    Live another Day: JACK BOWER

    IPO HADI EPISODE YA 5 sasa!
  10. KGARE

    Live another Day: JACK BOWER

    Honestly nimejikuta nacheka sana mwenyewe...maana huyo anayeuliza Bower ni nani alitegemea ugundue jina umekosea, lakini mwenzetu very naive hujagundua, ndo inazidi kukoleza!Dah, am still smiling!!
  11. KGARE

    Wajumbe wa BMK kupitia CCM jengeni hoja kwa kuonyesha njia tuendako na sio kushabikia tu serikali 2

    Maswali ya maana sana kwa BMK kwa hizi sura wanazojadili.Nasikitika hawajibu maswali hayo na mwenyekiti hatoi mwongozo kwa wanaochangia, ili waweze kutumia muda vizuri kujadili sura hizo mbili tu bila kuzunguka na kumaliza muda kupeana vijembe na kushabikia tu!!
  12. KGARE

    GARI: Used Toyota Starlet ya Kununua, Mwanza

    Kama kuna mtu anayeuza Used Toyota Starlet ambayo bado iko kwenye form , 5 Doors, mileage isiyozidi 100,000km, Automatic. Tafadhali ani-private message.
  13. KGARE

    JK, ametuhamisha kwenye mambo ya msingi

    Hahaa, ila kweli jinsi alivyoandika ni typical watu wa kule Kigali, penye 'el' wanaweka 'arr'. Umemwotea huyu lazima atakuwa ana asili ya kule hata kama anaishi TZ kwa sasa. Lakini Nawewe kaka usiseme HAMUJUI, sema HAMJUI!!Kiswahili ni lugha inayohitaji utulivu wa nafsi!!
  14. KGARE

    Mishahara ya watumishi wa umma sasa kupitishiwa CRDB badala ya NMB sababu ni nini hasa?

    Hahahahaaaaaa...umenichekesha sana aisee (najua unawazia kale kamsululu ka foleni kanakokua kule kwenye ATM za NMB...ukiita ..mwalimuu!...woote wanageuka nyuma), lakini nao pia si ni wateja tu kama wengine!!
  15. KGARE

    Billy Clinton avitembelea vikundi chini ya taasisi yake TZ

    Upendo wa Marekani kwetu mbona unakua kwa kasi sana siku hizi!? Hakuna kitu kweli kilichojificha?
  16. KGARE

    Natafuta gari toyota starlet (used)

    Nipe number yako ya simu au email nikucheki pls
  17. KGARE

    Natafuta gari toyota starlet (used)

    Give me your phone number or email pls
  18. KGARE

    Natafuta gari toyota starlet (used)

    Ndugu zangu natafuta Toyota Starlet, 1,290cc, Petrol, Mileage isiyozidi 120,000km. Bado iwe in good condition tafadhali! If you have one or you know someone please help. Niko Moshi lakini mahali popote itakapopatikana haitakuwa ni tatizo.
  19. KGARE

    Natafuta nyumba ya kupanga moshi mjini

    Ndugu zangu natafuta nyumba ya kupanga Moshi mjini Kuanzia mwezi huu wa January 2013, eneo la karibu na usafiri wa daladala. Iwe na walau vyumba viwili vya kulala na sebule, jiko (kitchen) na geti. Bei isiyozidi 200,000/= Kama kuna yeyote anayeweza kunisaidia awasiliane nami kwa namba ifuatayo...
  20. KGARE

    Tundu Lissu awataja Majaji wa Kikwete wasio na Sifa (Kazi ndio inaanza)

    Bado sasa hivi wako busy wanatafuta vyeti vya kughushi katika vyuo vya nje au vya ndani, wanabadilisha miaka ya kumaliza vyuo, wanatafuta kesi kadhaa za kughushi ili ionekane wameshauri na kuamua kesi nyingi tu kwa miaka 10 na wana degree zao...BAADA YA HAPO WATAJITOKEZA KUJIBU HOJA YA TUNDU...
Back
Top Bottom