Search results

  1. Jephta2003

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Ulipokua unakwenda kulala kwake hukujua kua ni mke wa mtu?
  2. Jephta2003

    Nataka kuwa baba watoto Lakini siyo mume

    Ukimwi upo na unaua,maana kama ni watoto kwa hiyo condom hazitumiki
  3. Jephta2003

    Tetesi: Inadaiwa Clement Mzize analipwa 600k, halafu Guede analipwa Milion 29

    Ndio kiasi alichokubaliana nao wakati wa kusaini mkataba,wewe ni nani wake unakuja kulalamikia huku jf?
  4. Jephta2003

    Hatuko mbali na ww3, nuclear war

    Hili ulilosema liko wazi dunia hii haina muda mrefu
  5. Jephta2003

    Kazi ya Kuuza Movie/Series Kwa Kijana Mwenye Uzoefu nayo

    Napendekeza uurekebishe,hiyo saa 1 asubuhi mtu wa kuweka wapi utampata wapi?,fanya kuingia saa 2 asubuhi kutoka saa 4 usiku ili huyo mtu hata hakai tembon aweze kurudi kwao
  6. Jephta2003

    Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa kwa pupa na Hayati Magufuli sioni hata mmoja utakaokuwa na ufanisi

    Kwenye umeme ungenyamaza kabisa,kipindi hiyo mwl nyerere haiwasha unakumbuka tulivyoteseka na mgao wa mpaka usiku wa manane?
  7. Jephta2003

    Kamwe na katu Lema hawezi kupita Ubunge Arusha Mjini chini ya Uongozi wa Makonda

    Wanaopiga kula ni wanainchi wa Arusha au Makonda?,hebu jibu hili swali
  8. Jephta2003

    Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama

    Acha ubahili kijana, kama wewe huli mbona unalazimisha na mwenzeko asile, acha ubinafsi
  9. Jephta2003

    Mpenzi wangu analalamika simtafuti

    Kwa akili yako unaona unamtendea fair?,halafu unakuja kutamba huku,akili za kitoto hizi,subili apate bwana mwinginr uisome namba Qa
  10. Jephta2003

    Tanzania haipo katika Orodha ya nchi zenye nguvu kijeshi duniani 2024

    So dunia ina inchi 50 tu?,labda Tanzania ni ya 52 au 55 Na nchi 50 tu
  11. Jephta2003

    Imekaaje baada ya mtoto kuhitimu la 7 nikamsomesha QT?

    Kufaulu mtu wa QT ni ngumu mno maana kule kuna Paper 1 na paper 2,wakati hawa kawaida wanapiga paper 1 moja tu
  12. Jephta2003

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    Ukiilipia hayo masafa si inakua mali yako?
  13. Jephta2003

    Kati ya Ukerewe Mwanza na Kigoma wapi panaongoza kwa uchawi?

    Ila uk wako vizuri kwenye nyanja hizo
  14. Jephta2003

    Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

    Kibibi alikua miss Tanga miaka ile na alikua anakaa Makumbusho,siku hizi yuko Mabibo na ana watoto wstatu au wanne alizaa na jamaa mmoja anaitwa Lucas
Back
Top Bottom