Search results

  1. K

    UPDATES: Mapokezi ya Dr. Ulimboka na yaliyojiri

    Kurudi na kuimarika kwa Dr. Ulimboka ni mwanzo wa Kuandika Dibaji ya kupinga na kuweka hadharani ukiukaji wa haki za binadamu na utetezi wa haki husasani hapa Tanzania.Ubabangida,Ubabazi,utimbakwili na ulikizwaji wa vyombo vyetu vya usalama unaelekea Kibo na Mawenzi.Hakika kila mtanzania na...
  2. K

    Sikukuu ya Wakulima maarufu kama Nanenane inakumbukwa na serikali au wakulima wenyewe

    Naomba wana jf tujadili ni kweli sikukuu ya wakulima inakumbukwa na serikali au wakulima wenyewe.Kama inakumbukwa na serikali ni kwa kiwango kipi imeboresha mazingira ya wakulima, ambao kila siku tunaimba ati kilimo ni uti wa mgongo wa Mtanzania, na kama inakumbukwa na wakulima, wanaikumbuka je
  3. K

    Naibu Waziri apata ajali mbaya

    haiwezekani, huo siyo usawa,wote walitakiwa kupelekwa hospitali moja,ila najua unatania
  4. K

    Naibu Waziri apata ajali mbaya

    Nampa pole sana,alikuwa anatoka wapi anakwenda wapi,walikuwemo watu wangapi katika gari,yeye mh, kapelekwa wapi na imetokea{ajali} saa ngapi
  5. K

    Bungeni: Waziri Membe aiponda taarifa ya Wenje aihusisha na JamiiForums

    Nilichokipenda ni wakati spika wetu anahitimisha leo ktk wizara ya mambo ya nje, ambaye huwa hatabiriki kwa mwambia Membe kuwa ati na wewe ni sehemu ya serikali na aache kulalamika yakuwa bajeti ya wizara hii haitoshi,tumebinywa sana. Tafsiri yake nini?Kuna hali ya kutoelewana ktk baraza la...
  6. K

    Bungeni: Waziri Membe aiponda taarifa ya Wenje aihusisha na JamiiForums

    Nilichokipenda ni wakati spika wetu anahitimisha leo ktk wizara ya mambo ya nje, ambaye huwa hatabiriki kwa mwambia Membe kuwa ati na wewe ni sehemu ya serikali na aache kulalamika yakuwa bajeti ya wizara hii haitoshi,tumebinywa sana. Tafsiri yake nini? Kuna hali ya kutoelewana ktk baraza la...
  7. K

    Uteuzi wa Arther Mwambene kuwa mkurugenzi wa MAELEZO

    Wala sina shaka naye na ninamfahamu vizuri kibnafsi na hata kiutendaji.Huyo bwana Okololo aliyekuwepo kama mkurugenzi habari maelezo ndiye aliyekuwa mtu wa kutukuza mfumo na hata kudiriki kusema anapokuwa anahutubia rais au akiwa uwanja wa maonyesho kama uwanja wa bibi basi wakazi wote wa dsm...
  8. K

    Chama gani cha siasa kina fedha zaidi nchini Tanzania kwa sasa?

    lengo la wewew kujua chama kinachoongoza kifedha ni lipi, ili nikusaidie kukupa takwimu
  9. K

    Hivi lini wanajeshi madai yao hayatalipika?

    Lakini bado na vyombo vya usalama JK kavigawanya kwa makundi ndiyo maana kuna usalama wa taifa ccm,usalama wa taifa Ikulu,usalama wa taifa wa dsm,na usalama taifa wa kawaida, wakati huohuo kazi anayoifanya askari jeshi na askari polisi ni moja na kuumia ni kulelkule na hata kutoa saluti ya...
  10. K

    Dr. Mwakyembe unaheshimika lakini kwenye hili umeteleza vibaya

    Si dhani kama aliwahi kusafiri kutoka DSM hadi mz,mara au kagera akijionea pori lililopo kama kweli linasubiri kuchimba dawa ktk vituo maalum
  11. K

    Wahariri na Rais Kikwete: Yametimia yaliyotabiriwa?

    Ulichotaka aulize au namna alivyo uliza,ndivyo alivyouliza.KiBANDA alifanya kazi ya kulikiza mh J.K.lNa waandish, pamoja na wahariri niliyowaona ni magwiji wa taaluma ya habari,kwa hiyo walikuwa wanasikiliza na kuchuja alichokuwa anakizungumza ambako uchambuzi wao ni endelevu.
  12. K

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    Nakumbuka mgomo wa kwanza wa walimu ulipigiliwa msumari na kuamuliwa na mahakama wakati wa usiku,na kwa mara ya kwanza Jaji aliyetoa hukumu hiyo alipigwa picha na vyombo vya habari.Kitu ambacho ni kinyume na sheria ya media kupigwa picha jaji au hakimu wakati anasikiliza au kutoa hukumu, Wakati...
Back
Top Bottom