Search results

  1. M

    Jamani nakufaaaa

    ebu chunguza kama huko chini ni mitaa ya mbavu ya 10 au karibukaribu na apo mitaa hiyo hupatikana bandama(spleen),then nenda hospitali kwa uchunguzi zaidi!!
  2. M

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    ukifuatilia ukuaji toka mimba inatungwa(embrology) utaona kua kisimi(clitoris) na kichwa cha uume(glans) vinaoriginate kama kitu ki1 ila utofauti wa x(kwa mwanaume) na y(kwa mwanamke) ndo vinaleta tofauti ya maumbile inayoonekana kati yao. kwa kua wanaume hisia wakati wa tendo hupatikana...
  3. M

    Wahitimu wa D.I.T wako fit pratically ukilinginisha na UDSM wanaosoma Engineering

    mtoa mada huo uthibitisho uliokuja nao si sahihi kabisa,hata ktk darasa flani la engineering kuna wa kwanza na wa mwisho(kama ilivyo huko DIT,etc);labda huyo mwanafunzi alikua the best from dit aliekutana na wa kawaida from ud!!labda tujikite kutafuta kama kuna research on this. Ila mi...
  4. M

    DC aangua kilio kikaoni, pata tukio zima katika picha

    kulia ndio kutabadilisha nn sasa?
  5. M

    Mkurugenzi wa jiji Mwanza apiga danadana posho ya walimu kwa ajili ya sensa ya kesho

    wanaofanyiwa ivyo ni walimu tu au na wale f.6 leavers na wanavyuo wanaoshiriki??maana naona unaandika kuhusu walimu tu.
  6. M

    Upotoshaji Wikipedia Juu ya Nyerere?

    "wachache waliopata nafasi ya kwenda shule ni sawa na mtu aliyetumwa kwenda kutafuta chakula kutoka kwenye kijiji chenye njaa,asipokipata chakula alichotumwa kijiji kitaangamia kwa njaa","shule sio mahali pa wanafunzi kukaa na kusoma muda wote ila pia lazima wajihusishe na shughuli mbalimbali za...
  7. M

    Tamko la Chama Cha Walimu(CWT)

    Ee Mugu tusaidie!!zaidi ya 3/4 ya watz wana umaskini wa kipato(income poverty),kwa hy wengi wa watoto wa tz wanasoma kwenye public schools,bila elimu(c ile ya kwenye matokeo ya mitihani) watu hawa watakua watumwa either wa waafrika wenzao ama wa mataifa wengine e.g wacpojua jiografia...
  8. M

    Tetesi madaktari kuzimua mgomo wao

    utaambiwa hakuna askari wa kutosha wa ulinzi ila wa kupiga mabomu wapo kama siafu,...pia utaambiwa taarifa za kiinteligensia zinaonesha kutakuwepo na alshabab....liwe na liwalop ss...
  9. M

    Gratian Mkoba : MGOMO upo palepale na ni HALALI...

    ninaumia zaidi ya wanavyoumia hao viongozi coz kwetu hatuna pesa za kupeleka watoto private,hivi ss wanadhurura tu mjini,wa primary na sekondari!!sijui kama itaisha salama hii....WATOTO WAO WANASOMA MBELE WENGINE FEDHA BYS&GIRLS!!!
Back
Top Bottom