Search results

  1. Mnyamwezi.Zanzibari

    CCM waionavyo Uamsho na Amani Karume (CCM-samaki)

    nenda mzalendo.net mi nimejaribu kuleta nikashindwa
  2. Mnyamwezi.Zanzibari

    Jussa ajiuzulu Unaibu Katibu Mkuu (ZNZ) ili 'kusaidia Zanzibar kupata Uhuru Wake'

    Amejua sasa anajulikana kwamba ni Mamluki wa nje kama chama chake
  3. Mnyamwezi.Zanzibari

    Portugal claims back Zanzibar Islands after 200 yrs (watch out)

    We have Muzungus here getting us ready to convice people that we Can become Europeans if we agere with Portugal that Zanzibar was just stolen by force with the hungry Omanis, Wana ushahidi wa furaha waliokuwa nayo Babu zetu enzo zao hapa. Katik mifano ya maendeleo na furaha wanaongelea mchezo...
  4. Mnyamwezi.Zanzibari

    Mazuri ya Edward Lowassa

    Alikuja Vijijini kwetu Zanzibar na kukagua maendeleo na kukutana nasi katika kanisa na Mwanakwerekwe mara 6 au zaidi kwa mwaka, tangu aache kazi hatumwoni tena Wazili Mkuu akija Zanzibar na sasa tunaonewa zaidi.
  5. Mnyamwezi.Zanzibari

    Sheikh Karume yu wapi?

    Hatari sana, Anaimarisha kundi lake la UAMSHO, ndoto yake aunde Muslim Brotherhood yake, juzi aliwanong'oneza Uamsho walegeze mwendo kunako kona ila Safari iendelee, keshawapachika wastaafu wenzake wote na Uamsho
  6. Mnyamwezi.Zanzibari

    Barazani Kwa Ahmed Rajab: Muungano wa Mkataba utaleta Umoja wa Afrika

    Bandari ya Zanazibar wote ni wezi, ila kwaq makusudi ili kuinyima TRA ya Muungano mapato, (yaani kama nikiingiza mzigo toka Dubai na kodi ni milioni 7, basi nalipa moja tu kihalali, na mbili natoa zawadi mlango wa nyuma au hata nje nje kwani wote lao moja, kuwa bora pesa tuachiane sisi Zanzibar...
  7. Mnyamwezi.Zanzibari

    Mzee Hassan Nassor Moyo: Kauli yake juu ya Muungano na hatma ya Uanachama wake ndani ya CCM

    Shibe tu ya pesa za Wataliana watalii hizo, ndo koti lishaanza kubana bana.
  8. Mnyamwezi.Zanzibari

    Maalim Seif Sharifu Hamadi ni mgonjwa

    Dhambi zamtafuna huyu Mwarabu mweusi. Pole Sefu
  9. Mnyamwezi.Zanzibari

    Tanzania, Malawi row over Lake Nyasa again

    Mawazo yangu ni kwanza tutake haki sawa kwenye Ziwa, au tugawe mara 3 nchi 3 zinazopakana kwa usawa, au Tanzania tuchukuwe eneo letu na lile la Malawi pia, au hiyo kazi apewe Dr. Migiro afanye hiyo tu 24HRS akishindwa tuvamie kigeshi na kukalia upande wa Ziwa kati yetu na Malawi
  10. Mnyamwezi.Zanzibari

    Hodi Jamii yangu

    Salama Jamani, nimepata khabari sana kwa kupitia website hii, sasa nimeamua kuwa nanyi ili tuwe pamoja, napiga hodi rasmi. hodiiii!!!
Back
Top Bottom