Search results

  1. E

    wana udom mwaka 2 na 3 mpo,

    habri zenu ndugu zangu,naomben msaada tafadhali,nataka kwenda kulipa ada ya direct cost,naingia mtandaoni naambiwa warning haufunguki,wenye huo muamala naomba unirushie plz,maana nasikia wameweka adi ac no ya NMB,plz msaada maana ndo naelekea town,
  2. E

    hali ni tataa msaada plz

    thank a lot
  3. E

    hali ni tataa msaada plz

    mkuu hsg nimefanya mwezi wa saba,na abortion nilipata miaka mitatu iliyopita, ndipo nashindwa kuelewa nazidi kuchanganyikiwa kabisaaa
  4. E

    hali ni tataa msaada plz

    asante sana kwa kunisaidia, baada ya kumeza izo dawa huwa nahc maumivu kwa mbali yaani kama kitu kinamove especialy upande wa kulia chini ya tumbo,
  5. E

    Hivi inawezekana kuishi na MKE kwa mshahara wa 150000?

    inawezekana cha msingi hapo ni upendo,baraka nyingine mungu atawaletea wala usiogope? Ya Mungu mengi anaweza akakuonyesha njia ukapata mara tatu ya hiyo,wwe oa,
  6. E

    hali ni tataa msaada plz

    asante kwa ushauri mzuri,je ishu ya kutopata hedhi mbona sielewi jamani,tatizo linaweza kuwa ni hilo la hormones ndo maana cjapata hedhi?
  7. E

    hali ni tataa msaada plz

    wapi mzizi mkavu kaka,
  8. E

    hali ni tataa msaada plz

    mimba ilishaharibika ndg,baada ya hapo ckupata tena,nikaenda hosp nikafanyiwa vipimo vya hsg sikuwa na tatizo,doctor akanipa dawa za kusaidia ovulation,nilizimeza mwezi wa nane mpaka leo sijapata hedhi na nimepima mimba leo hamna kitu,alinipa dawa ziitwazo clomi plan,
  9. E

    hali ni tataa msaada plz

    nn miaka 26,ilo tatizo lilishanitokea na nimepimwa nikaambiwa nipo safi,nimefanyiwa na kipimo cha hsg,lakn wapi? Cjatumia vidonge ivo
  10. E

    hali ni tataa msaada plz

    jamani nisaidien mwenzenu
  11. E

    hali ni tataa msaada plz

    habr ndg zangu,nisaidieni kutopata hedhi leo ni siku ya 56,nimeshapima ujauzito kwa kutumia hcg yaan urine test ziadi ya mara tatu na leo nimetest hamna kitu licha ya mwanzoni nilipata kuumwa na chuchu,kichwa nikajua nimeconcive lakin wapi,labda nieleze nilipewa dawa za ovulation kwa ajili ya...
  12. E

    Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

    mmi mwnywe nina vijidevu vinne virefu kidogo,huwa watu wananisifia kwa upole,ukarimu na mvumilivu kwenye ndoa,na wengne husema eti ni kwa sabbu ya vijidevu vyangu,
  13. E

    msaada tafadhali,kuhusu kipimo cha H2G,

    naombeni mnieleze hichi kifaa cha h2g kwa wanawake kinasidiaje mwanamke ambae hana mtoto kupata mtoto,maana sielewi ni nini,msaada wakuu
  14. E

    kuvimba uke

    pole sana jaribu kwenda kwa doctor may be una uvimbe,,
  15. E

    wana udom naomben mnisaidie haraka

    naombeni ac ya udoso niweze kulipa jamni na ni sh ngapi,,,nipo bank now
  16. E

    wana udom naomben mnisaidie haraka

    naomba mniambie kwa hawa wa first year izi direct cost tunazolipa,,hata kama una card ya bima lazima ulipe tena medical capitation fee,,,,na udoso tunalipaje,,naomba msaada naelekea bank kulipa,,thanks
  17. E

    Equivalent wakosa mkopo

    embu mtujuze jamni maana cjackia equivalent aliyepata,,
  18. E

    Kwa wale mliokosa mkopo na previous lonees soma hapa kutoka kwa mdodosaji...

    Thanx mkuu,,maaana me ni education na nimekosa jamni au kwa vile ni equivalet,,hivi kuna wa equivalet waliokosa mkopo,,,
Back
Top Bottom