Search results

  1. R

    Natafuta kazi ya kufundisha au yoyote

    Acha upimbi wewe,kwaiyo wewe sio dot com? Unayechanganya kiswahili na kiingereza? Hata wewe hujielewi,nawe dot com tu! Jamaa kaandika poa tu labda makosa madogo dogo hata waandishi wenye sifa na wazoefu wanakosea vilevile! Huna point apo,acha wenye kumsaidia waje! Nahiyo sio barua ya maombi...
  2. R

    Nitapata chuo cha udsm

    Utapata bhana,mbona pale now vilaza wengi tu.We jaribu tu.
  3. R

    Our leaders are eating our future while others are eating their past!

    What do they see in our country that us do not see? Every leader is selfish,is after his own interest at the expense of Tanzanians,we are putting down this country! They hv enough still they want more that they can not consume till they die,what for? Hawana tofauti na mababu zetu...
  4. R

    wana BAF Mzumbe waliokosa room za chuo pitia hapa.

    kijana bado ila wameshatoa accomodation allocations,so kama umekosa jipange.
  5. R

    wana BAF Mzumbe waliokosa room za chuo pitia hapa.

    lengo ni kuweza kujuana mapema ili tuchukue hatua kama kutafuta hostel,tukifaamiana mapema na tukiwa pamoja hostel itatusaidia sana kimasoma,kama interested na ni mwana BAF nitext kwa namba hii tufanye mipango 0778886787.
  6. R

    Kwanini PCM wengi wanaenda commerce na BAF?

    sawa talent zipo bt mwisho tunaangalia ni vp talent inakulipa.talent inakulipa.kwa bongo bado sana,technology ipo chini.hata mabarabara ni foreigners tu wakati bongo tunawataalam.mbali na hapo hakuna kitu labda usepe nje ikiwa unaiamini hiyo talent yako ktk science.
  7. R

    Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Huyu Rabi wa leo nina wasiwasi naye,anadai wana special class pale Mzumbe kwaajili ya courses ambazo hawasomi pale MU ambazo ARDHI wanasoma.Pia anadai yupo kazini(mwajiriwa) na anaona umuhimu wa hizo courses ambazo MU hazipo.Hebu atueleze kwanza,yeye ni mwanafunzi pale MU? Kama ndio ni mwaka wa...
  8. R

    First year 2012-2013baf na wanabaf waliopo mzumbe,yr1,2&3

    Wakuu mliochangia shukrani sana,ila sijalizika na ushauri wenu.
  9. R

    First year 2012-2013baf na wanabaf waliopo mzumbe,yr1,2&3

    Upo nje ya mada na lengo la hii post!
  10. R

    First year 2012-2013baf na wanabaf waliopo mzumbe,yr1,2&3

    NOTE:SINA LENGO LA KUTAFUTA SIFA WALA UBAGUZI. Kwa kuwa ni kweli mwaka wa kwanza kwa wanafunzi wa Mzumbe hukutana na likizo ndefu,kama sijakosea ni from january to july.Je kwa wale wana BAF mliotutangulia mnatushauri tusome nini ktk likizo hiyo ambacho kitatusaidia sana kulingana na masomo...
Back
Top Bottom