Search results

  1. F

    JF Music Player

    Mods, pls naomba mtujibu kuhusiana na hili ombi letu la Player. Thanks
  2. F

    JF Music Player

    Lets hope wameiona hii thread na wataijibu. Ile kitu ilikuwa safi sana hasa kama mtu uko abroad mbali na nyumbani, inasaidia kukumbushia mambo ya nyumbani
  3. F

    JF Music Player

    Ungesoma vizuri kwanza kabla ya kujibu - niliuliza since Feb, na nimekaa muda mrefu nikisubiri jibu. Hichi sio kitu kama kuomba tender inabidi usubiri muda mrefu, ni swala la kutufahamisha kwanini imetolewa.
  4. F

    JF Music Player

    Nimeshauliza lakini sikujibiwa, hivyo nikaona nianzishe thread hopefully nitapata jibu.
  5. F

    JF Music Player

    Nakubaliana kabisa na wewe Tiba. Hopefully watasikia this time.
  6. F

    JF Music Player

    Mwanakijiji, nilimtafuta Robot tokea 25th February lakini naona bado hajajibu. Pia nilimtumia mail before that week, lakini hakuijibu. Kwani wewe unafahamu kwanini imetolewa?
  7. F

    JF Music Player

    Wadau naomba mnifahamishe kuhusu hii player
  8. F

    Player

    Wadau naomba mnifahamishe tafadhali
  9. F

    Player

    Naomba kuuliza ile player ya miziki ya JF imehamishiwa sehemu gani? Nilikuwa naisikiliza almost kila siku na naikosa sana. Thanks
  10. F

    JF Music Player

    Naomba kuuliza ile player ya JF naweza kuipata wapi iliyokuwa na collection nzuri sana ya nyimbo za zamani? Asanteni.
  11. F

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Jamani poleni watu wa Old T, but ndio mpira.... Naomba kuuliza, hivi ile player ya miziki ya JF imehamishwa wapi? Sorry for putting this question here. Thanks
  12. F

    Playlist updated

    Maxence, thanks for the updates. Is it possible for the 'Zilipendwa' play list to be updated as well? Especially with songs from legends like Oliver Ngoma (always listening him when I'm in the forum) and the likes.
  13. F

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    This is a game of the season Period. But there was an incident which Skysports (the host broadcaster and producer of the game) failed to show and I think it will bring problems to Wenger; when Liverpool scored the 4th goal, Wenger kicked the ball and hit one of the Liverpool's player in the...
  14. F

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sidhani kama Arsenal itashinda leo maana inabidi tukumbuke kwamba Man Utd tunacheza nao mara 2 kwenye UEFA kwa wiki chache zijazo na kama tukishinda leo inamaana Utd watakuwa hawana pressure and they can manage to rest some of their key players. I would prefer us to loose today and beat Man Utd...
  15. F

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hopeful tutawafunga Newcastle Jumamosi hii... Kama tukishinda hiyo mechi na huku Aston Villa (ukiangalia mechi zao za karibuni ni ngumu sana, they have Man Utd and Liverpool in two weeks time) wakiendeleza ku drop points, 4th place will be guaranteed!
  16. F

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    No premier league team that doesn't pay its players; and they really really pay them. Ronaldo, Rooney, Ferdinand, Terry, Ballack and Lampard all get over 100,000 pounds per week. The highest paid player is Robinho, he gets over 150,000 per week. No Arsenal player gets as much as that; the...
  17. F

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Lets not get carried away... There are still 10 games to go and anything can happen... We mighty even come second or third or the worst case scenario, finish out of top 6 (missing a chance for EUFA cup). But fingers crossed though!!
  18. F

    GTV: Ndio tumekula hasara au?

    Nadhani hawa jamaa wataendelea kuwa na monopolistic powers when it comes to EPL maana sidhani kama AU wana sheria zinazozuia kampuni moja kuwa na haki zote za kuonyesha michuano mikubwa kama huu. Hapa UK, EU wanasheria zinazozuia kampuni moja kuwa na rights zote za kuonyesha mpira na hivyo...
  19. F

    GTV: Ndio tumekula hasara au?

    Mimi mwenyewe ni mpenzi mkubwa wa Arsenal na ningependa kukwambia kwamba kwa sasa utaweza kuona mechi zote za Arsenal as it is a top team and hence DStv gives it a preferential treatment when it comes to live games.
  20. F

    GTV: Ndio tumekula hasara au?

    Mechi zitakuwa kwenye Supersport 7 kwa weekend hii... Pre and Post Coverage itakuwa ni ile ile kama ilivyokuwa ya misimu ya nyuma. Premier league rights zimeanza kuuzwa tena hapa Uingereza (huwa zinauzwa kwa misimu 3) na hivyo basi kunaweza kukawa na provider mwingine kuanzia msimu wa 2010/2011...
Back
Top Bottom