Search results

  1. G

    ITV kuomba radhi kwa kuonyesha habari ya Mama aliyenyangwanya Mtoto wake ni haki?

    kwa kweli mimi Itv sijawaelewa walikiuka sheria ipi mpaka waombe radhi jana..but kama ni kweli ni nguvu ya ziada ya wale wahindi basi nchi hii sioni haki iko wapi maana Itv ni private territory bt wahidi wameweza kuwafanya wanywee lol makubwa..
  2. G

    Tabia ya kuhonga Wanawake...

    even though its seem healthy to be a two way system rarely do that work on 50 to 50 ratio....the man will always give more than the chick but then its said "the more you give the more you receive"....that the modern rule of kuhonga type of relationship
  3. G

    Wafanyakazi tunataka Mkurugenzi SSRA ajiuzuru, TUCTA iongoze mgomo huo

    Naunga mkono hoja...hatufai huyu binti kwani alitakiwa awe pro active na ajue hii sheria ni ya uonevu kwa wafanyakazi, wabunge nao yabidi tuwalaumu maana kama ingekua inawagusa hii sheria am double sure lazima wangeikataa...
  4. G

    Mtaji wa (tzs ) millioni 4 unaweza kuanzisha biashara gani? Naomba msaada wadau wa biashara.

    kaka biashara nzuri ni ile una idea nayo au unaipenda just like a hobby vile otherwise idea zingine unabidi uzifanyie utafiti wa maana kabla hujaamua ku invest your 4m.....take your time before you commit that cash to nay business.
  5. G

    Maandamano kupinga sheria iliyopitishwa- mifuko ya jamii (ppf/nssf) kuchukua 55 years

    Yabidi kushiriki maana serikali hii bila migomo mambo hayakwendi kwa kweli.....let stand together as one and say NO to this system oppression.
  6. G

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    "No task is more difficult than systematic hypocrisy".....
  7. G

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    ni huu pia ni ujambazi au hujasoma hizi makala vizuri
  8. G

    Gazeti la MwanaHalisi lafungiwa kwa muda usiojulikana!

    Behind every argument is someone's ignorance...
  9. G

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    nadhani cha msingi hapa ni je umri ndio kikwazo kwako kumpenda kwa dhati na kua na uhusiano endelevu au....kama pamoja na umri wake unampenda kwa dhati na yeye pia anakupenda basi usimuache maana what count ni kama mnapendana umri sio kigezo its just a number.....
  10. G

    Tundu Lissu ataja wabunge wanaotuhumiwa kwa rushwa, Zitto si mmojawapo

    zito kama yumo angetajwa ana kama yumo but anafichwa itajulikana tu let just be wavumilivu...hii ni list ya Lissu tusubiri ya ccm yawezekana bw zitto yumo
  11. G

    Joshua Nassary ataka Kamati za Zitto na Mrema kuvunjwa pia!

    they are not in any comparable
Back
Top Bottom