Search results

  1. A

    Mkwawa High School mpo?

    Jamani mimi namtafuta mwalimu Busanji kuna mtu anayejua yuko shule gani au contact zake? Alikuwa mwalimu wangu wa miaka ya nyuma na hesabu yake aliyonifundisha hadi leo bado inapanda na ninawafundisha wanangu.
  2. A

    Serikali na Hatima ya ATCL

    Pundamili07, Yote uliyoandika ni PUMBA. Wewe si serikali. Serikali inajua ukweli wote wa hili sakata ndiyo maana imekaa kimya baada ya kupokea report ya uongozi wa ATC! Resonse ya serikali nadhani umeishaisikia kutoka kwa waziri wako mhusika kukiri kuwa ATC Haikupewa mtaji kama serikali...
  3. A

    Serikali na Hatima ya ATCL

    Jamani, hivi nyinyi hamjiulizi kwa nini serikali haijatoa tamko hadi leo?? Mataka na balozi nyanganyi wameeleza wazi tatizo ni nini, pesa haijatoa hata sumni SINCE Ahadi hizo zianze last two years. Issues zote za madeni yaliyoachwa baada ya kutenguana na afrika kusini hayajalipwa. Tatizo si...
  4. A

    Serikali na Hatima ya ATCL

    Jamani, hivi nyinyi hamjiulizi kwa nini serikali haijatoa tamko hadi leo?? Mataka na balozi nyanganyi wameeleza wazi tatizo ni nini, pesa haijatoa hata sumni SINCE Ahadi hizo zianze last two years. Issus zote za madeni yaliyoachwa baada ya kutenguana na afrika kusini hayajalipwa. Tatizo si...
  5. A

    Accountability and transparency in the conduct of government businesses in tanzania

    Unaita watu vilaza wewe labda hata degree huna, kwa taarifa yako Nyanganyi ni Graduate of Kenedy school of Governance, Harvard. Hakuna kilaza anayepata admission chuo hiki kilicho USA, you need to have a record. Get the facts than writing rubbish, stick to the point. Kama kuna political issue...
  6. A

    Serikali na Hatima ya ATCL

    Unahitaji Kuelimishwa! Kwanza, Serikali haijatoa fedha zozote kwa ATCL baada ya kujitoa from South Africa. Pili, Serikali inabidi itoe maelzo ya jinsi gani imeisaidia ATCL financially, badala ya kuja na lugha ya kutoa siku saba. Tatu, Mataka ndiyo mtendaji mkuu wa ATC, Board members na...
  7. A

    Sakata la Mahujaji: Utendaji ATCL na Yaliyojiri Hadi Leo Hii

    Tatizo la watanzania ni kuongea bila vigezo, nyie wadau mnaozungumza maneno ya kashfa kuhusu Balozi nyanganyi na kusema yeye ni mbomoaji nadhani hamna vigezo. Kama unataka kujua mambo aliyoyafanya siyo Tanzania tu bali dunia nzima unaweza kwenda kwenye mtandao na kusearch by his name na utaona...
Back
Top Bottom