Search results

  1. Njowepo

    Kwa wakristu wote, imfikie hadi papa, wazo la kuboresha kiapo cha ndoa cha kikristu

    Am still puzzled juu ya arguement ya mtoa mada kifo plus shida ni issues ambazo ni anticipated in life na kama umeoa utakuwa umexperience baadhi ya shida. Alafu kumbuka ni jopo lilikaa likatunga iko kiapo then approved universally kutumika kanisani. Kama unahisi zina walakini keti na paroko wako...
  2. Njowepo

    TANZIA Professor James Shaba afariki dunia. Alifanyia postmortem mwili wa Hayati Sokoine

    Ivi si ndo uyu walikuwa wanasema kwenda ofisini lazima awe njwiii ndo ufanisi unakuwa mkubwa?
  3. Njowepo

    Maelezo ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara kuhusu kilichotokea Mlima Hanang

    Mambo ya physical geography hayo raha sana ukiwa unayaelewa
  4. Njowepo

    Kuwa single mother siyo laana, msiwaseme vibaya

    Apo lazima kuwe na single mothers maana wanawake wako wengi kuliko wanaume na iko ivyo kwa mda mrefu na bado wapo wanaume ambao wanabadili jinsia so wanaume wanazidi kupungua
  5. Njowepo

    Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu

    Marko 10:31 BHN Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.” ata injili inakili ilo hawa jamaa zamu yetu sasa kuwahubiria naona wengi wanakengeuka.No wonder idadi kubwa ya mapadre huenda uko ughaibuni I have 5 friends of mine US Autrali and German...
  6. Njowepo

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Although born into an Anglican family, and a devout but heterodox Christian, by his thirties Sir Isaac Newton held a Christian faith that, had it been made public, would not have been considered orthodox by mainstream Christians. Albert Einstein famously wrote: “Science without religion is...
  7. Njowepo

    Kila ninavyoona wanawake wa sasa hivi walivyo kitabia naona ni bora kubaki bila kuoa

    SWALI: Maana yake ni nini Bwana anaposema (Mathayo 19) “Maana wako 1.MATOWASHI-waliozaliwa hali hiyo toka MATUMBONI MWA MAMA ZAO; Tena wako 2.MATOWASHI-waliofanywa na WATU kuwa matowashi; tena wako 3.MATOWASHI-WALIOJIFANYA KUWA MATOWASHI KWAAJILI YA UFALME WA MBINGUNI.Awezaye kulipokea neno...
  8. Njowepo

    Jenerali Ulimwengu: UDSM imekuwa "Extended High School"

    Wameona siasa inalipa so bora wakomae uko kuliko kukomaa na uaccademician
  9. Njowepo

    Hatimaye Israel yagundua mlango wa handaki lililo kwenye hospitali ya Al Shifa

    Dah apa namkumbuka Ruge alisema ogopa sana Mungu na Technologia naona sasa hii ni fedheha
  10. Njowepo

    Naombeni historia ya Sista Benadeta Mbalawa wa Parokia ya Songea

    Niliwai fika kwenye kaburi lake pale peramiho kabla hawajaliamisha na kuchukua udongo. Nadhani its time now kama inchi tuwe na mtakatifu maana kama inchi tumekomaa kiimani
  11. Njowepo

    Naombeni historia ya Sista Benadeta Mbalawa wa Parokia ya Songea

    Nadhani bado hajatangazwa kuwa mtakatifu ni kama umeweka chumvi apo maana mchakato bado unaendelea
  12. Njowepo

    Meli ya Israeli yavunja katazo la Urusi kuzuia Ngano isisafirishwe kutoka Ukraine kupitia Black Sea

    Izi habari za uku nime mute kidogo nafuatalia hawa waafrica wenzangu NIger na West Africa at large
  13. Njowepo

    Afrika ni Bara lililobarikiwa utajiri wa raslimali za kila aina, likalaaniwa viongozi wake

    Shida ya Africa badala ya kuwa viongozi tuna puppets wa imperialists. NIger wamejilipua eti ECOWAS anatak ivamia NIger kulinda Maslai ya US NA FRance. Will take time WEst Africa kuwa na uhuru kamili vitu vingi FRance ndo anacontrol alafu kawajazia terrosits groups kule plus njia ya madawa ya...
  14. Njowepo

    Serikali ivunje Mkataba na hospitali za Kanisa, ielekeze hizo Bilioni 30 kwenye Matibabu ya wazee na wajawazito

    Eti gumzo inchi nzima yaani wewe kama wewe umekuwa inchi? Nadhani ukifuatilia ni maeneo ambayo serikali inakuwa haina hospital ndo huwa wanateam up na watu wa kanisa Kama Bugando KCMC KUle Makete na pale ILembura kwa kutolea mifano tuu. Pia ukumbuke ata shule za mission vivyo ivyo ingawa zipo...
  15. Njowepo

    Jamhuri ya Ramogi.

    Shida itaanza Wakikuyu nao wataanza yao
  16. Njowepo

    January Makamba ni muongo kuhusu umeme

    Nawaza ela ya kununua mitungi when was it budgeted maana si chini ya bilion kwa wabunge zaidi ya 300
  17. Njowepo

    Serikali imesema reli ya kisasa ya SGR kutoka Dares salaam kwenda Morogoro (KM 300) itaanza kutoa huduma mwezi wa saba 2023

    Wanajua watz hatuna kumbukumbu na pia uwezo wa kuhoji nao fyongo wanatuburuza tuu
  18. Njowepo

    Ester Bulaya: Mkandarasi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere anataka kushtaki alipwe nyongeza wakati mradi haujakamilika

    SErikali ikichlewa kulipa tunapigwa pini ila contractor akichlewesha mradi Tozo tunanyuti
Back
Top Bottom