Search results

  1. G

    kwa wanaojua hesabu watapata jawabu sahii la swali hili

    Mti mwema obvious huwa ndio unarushiwa mawe sishangai mnavyo mdis Dr ila kwa muelevu na mwenye uchungu na hili Taifa linalonyonywa na Mafisadi kwa manufaa yao binafsi hawezi kusupport hilo la kumdis Dr,usipende kuishi kwa mazoea ila jaribu kuishi kwa mabadiliko coz tumechoka na MAFISADI.
  2. G

    Kwanini jk hajahudhuria mazishi ya wanajeshi??

    Hii title ya Amiri jeshi mkuu katika list ya maraisi walio wahi kutuongoza ni wawili tu ambao wanaresemble kuwa na hiyo title yan huyu na mwenzake wazinguaji.Bigup first and third presida.
  3. G

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    Zitto siyo mnafiki mara nyingi kauli za zito zinabase kwenye ukweli mara nyingi selikari iliyopo madarakani kama inafanya kitu kizuri kwa manufaa ya wananchi na taifa kiujumla mara nyingi Zitto anazipongeza zile wizara and if itz vise versa Zitto tends to b vise versa too so huo unafiki wa Zitto...
  4. G

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    Ebwana hili swala la Zitto n very sensitive hivi what is exactly going on between presida wetu na Zitto?n urafiki wakawaida au n mambo ya politics to b honestly i real trust Zitto ila siwasupport kwa kumdiss Zitto ila siku nitakayo thibitisha kwa hayo ambayo ambayo yupo suspected ndio...
  5. G

    siri imefichuka:kumbe kamatakamata ya Tanesco ni kwa ajili ya haya

    Kiukweli heli deni halikwepeki kwa TANESCO ila cc wananchi tutakandamizwa sana na hao TANESCO due to monopoly market coz we dont have alternatives.
  6. G

    Polisi wafichua siri za mauaji WAYAHUSISHA NA AMRI ZA WAKUBWA

    Unajuwa kuna watu obvious huwa wapo negativity xo we just take easy ila tumekupata kaka.
  7. G

    Maneno ya Ujumbe wa Mh. Zitto kwa Viongozi Maswi na Prof. Muhongo hauna maadili ya Uongozi!

    Hebu let be back kidogo tupata mfano mmoja unaoendana na hizi tuhuma za Zitto,several months past kulikuwa na mwandishi wa habari wa TY channel moja hapa TZ for sure wengi tulikuwa na bado tunamwamini kwa kuwafichua TRAFICS wapokea rusha akiwa na ushahidi wa photoz wengi tukawa tunampongeza hasa...
  8. G

    Maneno ya Ujumbe wa Mh. Zitto kwa Viongozi Maswi na Prof. Muhongo hauna maadili ya Uongozi!

    Majority tunamwamini sana Zitto and we real respect him coz kuna mambo mengi sana ambayo previous yalikuwa hidden ambayo yanamadhara makubwa sana na incase yasingegundurika hadi sasa taifa letu lingekuwa taabani mfano issue ya Richmond nanyinginezo na ameshauri mambo mengi kwa faida ya taifa...
Back
Top Bottom