Search results

  1. T

    Kauli ya Lema kuwa angekuwa serikalini wangeingia dili la siri na Laizer kuna kitu cha kujiifunza, lakini pia tumpongeze Rais Magufuli kwa uwazi

    Umiza kichwa kujua lema amesema mini, usitake kutafuniwa kila kitu, hizi akili mgando mpaka lini?
  2. T

    Mtanzania apata mabilioni, Auza mfumo wa kununua Gesi kadri unavyotumia

    siyo mambomba ya gesi ndugu. Huyu alichogundua ni Mita, anakuletea Mtungi wa kilo 6, 15 au 30 nyumbani kwako ila huwezi kuutumia mpaka ulipie, unaweza kununua gesi ya 2000 katika mtungi huo ikiisha inakata hadi ununue tena, ni kama Luku.
  3. T

    Mtanzania apata mabilioni, Auza mfumo wa kununua Gesi kadri unavyotumia

    Mtanzania Andron Mendes ameuza mfumo wa mita ya kulipia ya kulipia gesi ya kupikia kadri unavyotumia (PAYG) kwa Kampuni ya Circle gas ya Uingereza kwa Sh.57.6 bilioni ili isambazwe kwa nchi za Afrika. "Hakuna sababu ya kushikilia Teknolojia ambayo inapunguza matumizi ya Mkaa kwa sababu tu...
  4. T

    Waziri Mkuu Majaliwa akiambatana na Mzee Mkapa aelekea Msumbiji kumwakilisha Rais Magufuli sherehe za kuapishwa Filpe Nyusi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameambatana na Rais Mstaafu wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Benjamin Wlliam Mkapa.
  5. T

    Upuuzeni uzushi kuwa ndege ya Tanzania inauzwa nchini Kenya

    Watu wengine sijui mnfikiri kwa.kutumia mini, kama.makubaliano yanatunufaisha tuyakatae kisa.wametengeneza.wao?
  6. T

    Upuuzeni uzushi kuwa ndege ya Tanzania inauzwa nchini Kenya

    Wazushi wote na wakae kimya sasa
  7. T

    Upuuzeni uzushi kuwa ndege ya Tanzania inauzwa nchini Kenya

    Utameza.tu, hiyo.ndiyo Tanzania ya Magufuli
  8. T

    ACT-Wazalendo: Tishio la kufutwa, hatutarudi nyuma

    Sheria inayowafunga ACT ni ya mwaka.huu
  9. T

    Tanzania imejaa raha, AFCON, usafiri wa anga, Elimu, madini,miundombinu...

    1.Ukienda Uwanja wa Taifa unakutana na Stars na Simba wamefuzu, Yanga nayo bado ni miongoni mwa Timu chache duniani zinazoongoza ligi za nchi zao; 2.Ukienda Stiglers kazi ya kuzalisha umeme megawati 2,115 imeanza; 3.Ukienda SGR kazi imefikia asilimia zaidi ya 45.Reli ya kisasa inatandikwa na...
  10. T

    Kisutu: Mahakama yakataa Mdhamini wa Lissu kujitoa kwenye kesi akidai hana mawasiliano na mshtakiwa

    Itabidi amtafute Lissu aje apambane na hali yake.
  11. T

    Kisutu: Mahakama yakataa Mdhamini wa Lissu kujitoa kwenye kesi akidai hana mawasiliano na mshtakiwa

    Ushoga umekuathiri wewe, kila anayepost humu unafikiri ni demu mwenzako?
  12. T

    Baada Ya Seif Kuhamia ACT-Wazalendo, Wameanza Kutembeza Bakuli, Nini Maana Yake

    Hapa hakuna kitu zaidi ya Zitto kutaka pa kutokea
  13. T

    Baada Ya Seif Kuhamia ACT-Wazalendo, Wameanza Kutembeza Bakuli, Nini Maana Yake

    Wazee wanatafunwa sana na wanasiasa wachanga. Lowassa alimnufaisha sana Mbowe, tutarajie Zitto Kabwe naye mambo yake kuwa bien.
  14. T

    Joshua Nassari avuliwa Ubunge wa Arumeru Mashariki kwa “Utoro” Bungeni

    In baada ya kukosa vikao vitatu mfulukizo kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania
  15. T

    Countries stopping Boeing 737 Max 8 flights: Tanzania doesn’t care at all about safety of its citizens

    Maana ya kusena Tanzania does not care maana Yake nini ? Acheni upumbavu.
  16. T

    Lissu na Zitto wafundwa kuhusu Nchi, Serikali na Maslahi ya Taifa

    Kasome Katiba ya nchi, mamlaka za fedha , Sera na Mipango utajuq nani alitoa fedha. Lakini hata hivyo mbona mnajikanyagakanyaga, tatizo ni uwanja kujengwa Chatto au fedha kutolewa na nani? Vichwa vyenu vimejaa matope
  17. T

    Lissu na Zitto wafundwa kuhusu Nchi, Serikali na Maslahi ya Taifa

    Wale msioupenda lazima mseme ni utumbo lakini ujimbe unakuwa umepenya vizuri sana. Hil mada ni somo zuri sana kwa vubaraka Wa mabeberu
Back
Top Bottom