Search results

  1. K

    CHADEMA kupata pigo kubwa, Kupoteza Mbunge na Madiwani wengi kwa ACT Kigoma.

    Kijana acha ushabiki, hata kama umekula yamini ulipokuwa India na Israel kuhusu CDM palipo na ukweli kubali. nachoamini kwa sasa CDM kuna mgogoro na unahitaji wanazi wa chama kuutatua na si propaganda zako. Hii itakuza imani ya chama kwa sisi wananchi na demokrasia kwa ujumla
  2. K

    Sadifa: Sijawahi kuwa kichaa

    Ben Kuwa makini na matamshi yako, acha propagannda. Mimi naamini kijana kutoka cdm kama wewe anatakiwa atowe mawazo ya kujenga ili watanzania wapte fursa ya kutambua mabaya ya watawala wao na waelekee kwenye UKOMBOZi but kama utaanza Prpopaganda utakuwa ni mwanzo wa kutoaminika kama kijana ktk...
  3. K

    Sherehe za CCM Dodoma Zaingia doa, Wang'oa bendera ya CHADEMA, Aden Rage ashuhudia

    Kama waislamu vile hawana huruma kabisa Tumia akili kama huna hoja sio lazima u-post kitu. na hapa utasema udini umesababishwa na Kikwete.
  4. K

    Mbinu za ushindi katika chaguzi - Zitto Kabwe

    Nasi hatutaki uwe muumini wake bali fuata misingi achana una uumini wa mtu. Na kama unataka uumini nenda Kanisani au msikitini
  5. K

    Zitto anasema 'Fuata Misingi sio watu'...

    Ben wewe ni nani katika chama au tanzania? Una uzalendo kiasi gani? au Unapelekwa kama gari bovu nawe unakwenda. tanzania inahitaji wazalendo na si watu wenye njaa ya kichwa
  6. K

    Mbowe aupatia ufumbuzi mgogoro wa CHADEMA Karatu!

    Uenyekiti ni wako Mbowe ulirithishwa na mkweo big up
  7. K

    Mahojiano ya polisi na Sheikh Ponda Issa Ponda

    Kweli bwana huyu ni mshamba kama dr. sl-aa kuwaandamisha watu kila mara na kusababisha wenzake wajinga kuuwawa nyololo na Moro
  8. K

    CUF Ina mgogoro na Vyombo vya Habari?

    uislamu hauna chama kama ni hivyo tutawashauri ZZk na wengine kuhama cdm maana Padri na makanjanja mbowe ni wakrosto. tuache propaganda za udini humu jf kwani itapelekea yanayoendelea nigeria
  9. K

    Serikali rudisheni hospitali za makanisa mjenge zenu!

    Ndio maana kila asemacho mwingereza tunakubali hata kutetea ushoga tutakuwa tayari kwani hao ni 'rafiki zetu katika chama chetu' yaani friendi party. Agent wa ukoloni ni hao wamishenari, walitufanya tukubali wakoloni ni ndugu zetu,walijenga shule na hospitali kwa kutumia malighafi zetu, kwa hiyo...
  10. K

    51% ya wabunge wa JMT hawana shahada [Degree]

    mi nilidhani mchangiaji kumbe masaburi kafyatuka, hapo kwenye RED na BLUE unamaanisha nini kama sio fikra Mgando? Tukiwa na watanzania 1000 kama wewe bora nihame nchi
  11. K

    Hivi hii serikali ya CCM inachukuliaje swala hili la mkuu wa wilaya huko Mwanza?

    Kwa hiyo unamaanisha M4C Itaruhusu watu kujenga kwenye hifadhi/ Kama unawapenda watanzania wenzako toa elimu kuhusu umuhimu wa kutojenga kwenye hifadhi na si kuleta ushabiki humu JF
  12. K

    Hivi hii serikali ya CCM inachukuliaje swala hili la mkuu wa wilaya huko Mwanza?

    Kwa nini wananchi walijenga ktk hifadhi hawajui au ni viburi ili wapate kulaumu serikali. Mimi siamini kama Mwanza viwanja vimekuwa adimu kiasi hicho mpaka kujenga kwenye hifadhi. watanzania tuache tabia ya kuwa tegemezi
  13. K

    Lowassa: Rais Kikwete ni jasiri, mwadilifu

    uzee sio tija je anaweza kubadilisha Tz? Mbona Dr. slaa ni 'kijana' bt kwa cdm ndio chaguo hasa kwetu kaskazini
  14. K

    Kuanguka kwa CCM: Kutimilika kwa Unabii...

    Acha fikra mgando kwani kugoma kwa walimu ,wafanyakazi na madaktari ndio ishara ya kuanguka serikali. Naomba utaje faida za kuanguka serikali ya JK kabla ya 2015
  15. K

    Tusimsakame Zitto, Maamuzi ya Waziri kuhusu TANESCO mbali ya kuwa muhimu kuna makosa ya kisheria

    Zitto anaonewa kwani hana tabia ya ufisadi, mropokaji Nassari atakuwa katumwa na zezeta Mbo-we
Back
Top Bottom