Search results

  1. C

    Mapenzi ya jinsia moja madhara yake yakoje?

    Madhara ni mtu kuolewa na kuendeleza huo mchezo kwa siri.
  2. C

    Eti nipite na huko.......

    Jamani mwanamke wa hivyo si mwanamke hata kama anavaa sketi,jamani kina dada hebu ile hulka yenu ya kike irudisheni basi hata kidogo.Yaani unakuta dada kashupaa anamtongoza mume wa mtu silka ya kike haipo tena kawa gumegume...nyie ndio wakina mama wa kesho sasa sijui tutakuwa na kina mama wa...
  3. C

    Kwanini mnafanya mapenzi kabla ya ndoa?

    Nakubaliana na wewe 100%,na hata wanaokataa wanaelewa unacho maanisha,pia wanawake wangekuwa wanasema no nadhani ingesaidia sana kusubiri.
  4. C

    HATAKI nimguse, eti anaangalia Tamthilia.

    Je kama mke ndio ananunua umeme...? sio wanawake wote magoli kipa.
  5. C

    HATAKI nimguse, eti anaangalia Tamthilia.

    Sio ajiulize kwa nini bibie anaona bora tamthilia kuliko kuwa mikononi mwake?Labda anaona jamaa anambaka...
  6. C

    Mgogoro ziwa Nyasa: Tahadhari kwa watanzania, hasa watumiaji wa JF

    Hawa wamalawi wanachekesha kweli,hivi si kuna border pale kwa nini waseme lake yote yao...?
  7. C

    Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

    ha ha watu wanatengeneza vitu visivyokuwepo eti vita,huo mgogoro wa kawaida tu unatokea karibu kila sehemu ya dunia
  8. C

    Taifa likiingia vitani leo,Itakuwaje?

    Hamna vita yoyote,ni migogoro ya kawaida tu ya majirani.
  9. C

    Tamko la Chama Cha Walimu(CWT)

    Sasa mkisha fika shule si mfundishe tu hao watoto,kama mliamua kugoma mngejipanga mfanye mgomo wa ukweli au huo wa awamu ya pili mgome mgomo wa kutikisa serikali ila kwa sasa muwafundishe tu.
  10. C

    Wamachame na wakibosho

    Aisee...kwa hiyo kumbe Mengi ni Mmachame.
  11. C

    Wamachame na wakibosho

    Hivi ukoo wa Chuwa wanatoka wapi katika wachaga...
  12. C

    Papaa Musofe mbaroni kwa mauaji!

    Alikuwepo Mtu anaitwa Moammar Ghadaffi aliyejimilikisha utajiri wa Libya kwa Miaka 40 aliishia kujificha kwenye pipa la takataka,atakuwa huyo limbukeni...
  13. C

    Machangu Wala Bakora Mwezi Mtukufu

    Nadhani ndio matatizo ya watu kusoma dini bila kuzielewa.
  14. C

    Machangu Wala Bakora Mwezi Mtukufu

    Wanawachapa wao wakiwa kama nani...? wana mamlaka gani kisheria ya kufanya hivyo? wangewapeleka polisi hii nchi inasheria zake sio kila mtu kujiamulia.
  15. C

    MKOBA azushiwa kusaini kitabu cha mahudhurio

    Ningefurahi kama huu mgomo ungewagusa watoto wa vigogo,wanao lipa 5,000,000 kwa mwaka kwa elimu ya primary. Lakini wanaokosa masomo ni walewale walio nje ya system wanyonge,walalahoi....
  16. C

    Gazeti la Dira: Kashfa ya kuhongwa - Zitto, Ole Sendeka, Sarah Msafiri na Anne Kilango watajwa

    Hivi posho ya kikao ni shilingi ngapi hasa? 150,000,200,000,300,000 au ngapi mwenye kujua atufahamishe.
Back
Top Bottom