Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi Knight Support (wa kwanza kulia), Bresing Kachambwa na Wahasibu wa kampuni hiyo wakiwa kwenye gari la Polisi baada ya kukamatwa wakituhumiwa kushindawa kuwasilisha NSSF michango ya makato ya wafanyakazi wake kiasi cha Sh bilioni 8.417.
Kada maarufu wa CCM na aliyewahi kuwa mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA), ShyRose Bhanji kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram ameandika kuwa Hakubaliani na Utawala wa Rais JPM, na yuko tayari kwenda jela
Ikumbukwe kuwa Mwanasiasa huyo siku kadhaa zilizopia aliandika...
Leo katika Mahakama ya Kisutu, kuna makanali watatu wa Jeshi la Rwanda wamefikishwa mahakamani, watu hawa wanadaiwa kuingia nchini kinyemela kwa kazi maalum.
Cha ajabu wanasheria wa Serikali walukuwa wakizuia waandishi wasiruhusiwe kuandika eti sababu ya mahusiano yetu na Rwanda.
Hata hivyo...
POMBE NI HARAMU,JE KWANINI WAKATOLIKI HURUHUSU KUNYWA POMBE,SIO DHAMBI?
Kati ya maswali yanayoulizwa na watu wengi sana,hasa ndugu zetu wa imani ya kiislamu na wakristo baadhi ni kuhusu suala la kunywa pombe kwa wakristo hasa wakatoliki.
hutuuliza, ninyi wakristo wakatoliki kwanini mnakunywa...
IMMMA Advocates ni mawakili wa Lissu na Acacia Mining kupitia washirika wao wa Uingereza waitwao DLA Piper. Pia Managing Partner wao S. Magai ni mweka hazina wa TLS.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amesema kuwa miili ya watu saba iliyokutwa ikielea imekufa ikielea kwenye mto Ruvu ilikuwa ni ya Wahamiaji Haramu.
Kauli hiyo ameitoa leo asubuhi wakati wa mahojiano na runinga ya Star Tv katika kipindi cha Tuongee Asubuhi.
=================
Habari...
WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imetoa ufafanuzi kwamba haijapiga marufuku watu wenye Stashahada wenye sifa kujiunga na vyuo vikuu badala yake walichokataza ni wanafunzi waliofeli kidato cha nne na cha sita kujiunga na vyuo vikuu bila kuwa na vyeti vyenye sifa.
Aidha...
WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imetoa ufafanuzi kwamba haijapiga marufuku watu wenye Stashahada wenye sifa kujiunga na vyuo vikuu badala yake walichokataza ni wanafunzi waliofeli kidato cha nne na cha sita kujiunga na vyuo vikuu bila kuwa na vyeti vyenye sifa.
Aidha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.