Search results

  1. ngoshombasa

    North & South Korea wameondoa tofauti zao. Iweje CHADEMA wanajitenga na CCM hapa Tanzania?

    Inaonekana mleta maada unajua Korea kusini na Korea kaskazini ni vyama vya siasa !!! Very low thinking! ... Wakae chini waelewane juu ya nini? EPA? EsiKuroo? Richmond? au 1.5 ???
  2. ngoshombasa

    Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

    Yaani hilo likitokea tu wengi watakufa kwa pressure au kwa kuhara kwa woga. Hamna mstaafu wa Afrika atakayesalimika...mijizi tu
  3. ngoshombasa

    Umoja wa Ulaya (EU) wasikitishwa na Vifo. Waitaka Tanzania kuheshimu Demokrasia na Utawala wa sheria

    Nani amnyoshee kidole mwenzake? Wakati yafanyikayo ndio sifa kuu ya shithole countries ???
  4. ngoshombasa

    Clouds 360 waishambulia CHADEMA kutopenda kukosolewa

    Jana Hassan Ngoma, alinishangaza sana. Eti anawashangaa wabunge wa Chadema kusema kwamba maisha magumu, kukosa Maji na Huduma bora za kijamii kunasababishwa na ccm hivo msiichague. Yeye anawashangaa! Pili anaamini kwamba maendeleo ktk jimbo yanaletwa na mbunge. Hapa ndipo unaposhindwa kuuelewa...
  5. ngoshombasa

    Mnijuze kipi cha maana hasa anachofanya Magufuli hadi viongozi uchwara wa upinzani wamuunge mkono kwa kujiunga na CCM

    Wakishamaliza kuwapokonya wananchi Uhuru wao wa habari ...kinachofuata sasa nikubutua tu... Nisawa na kucheza mechi bila refa... Mijihela ya kulipia mabombayadia sasa inanunua wasemahovyo Nani atahoji???
  6. ngoshombasa

    All Africans should stand with Mugabe for the dignity of Africa Continent!

    The author of this must be crazy...let Zimbabweans decide for their own fate. Why Africa?
  7. ngoshombasa

    Nitawashangaa sana AU wakikubali mapinduzi Zimbabwe!

    Mwandishi huyajui ya Zimbabwe..kakojoe ulale
  8. ngoshombasa

    Asali inavyotia mshawasha kwenye foreplay

    Naenda kununua ndoo ya asali sokoni ... Asante kamanda.
  9. ngoshombasa

    Njia zinazotumiwa na Rwanda na Kenya kuingiza wapelelezi wao Tanzania

    Nimeioenda hiyo namba 4. Walete tu hao walembo tupige mbupu
  10. ngoshombasa

    Wanaohoji uzalendo wa Tundu Lissu inabidi wayajue haya...

    Mukapa, Chikwete, watajwa Wote wa report za epa, Richmond, escrow, Mikataba ya siri, waliosaini mikataba ya wizi Wote na Wote wanatoka chama flani....Hawa ndio wezi wa uchumi wa Tz. Asiyelijua hili basi ajue ana PhD ya uzwazwa!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. ngoshombasa

    Blogger Robert Alai(Kenya) atoa siri ya waliompiga Lissu risasi. Amtaja RC Makonda...

    Mjadala huu ndio kipimo cha kuelewa Uelewa wa Watanzania katika mambo ya msingi. 1. Hivi Adui wa Umasikini wa watanzania umesababishwa na Lissu? 2. Adui namba mmoja wa Maendeleo ya Tanzania ni Lissu? au waliokubaliana na wazungu Hawa watuibie? 3. Kwanini sasa watanzania kwa makusudi kabisa...
  12. ngoshombasa

    Kwanini Dereva wa Lissu akimbizwe Nairobi?

    Low level thinking..... Dereva ndiye aliyezuia investigation kufanyika? Inakuwa ngumu kwa mchawi aliyepewa mtoto amtunze kafa mikononi mwake, anahaha kutafuta visingizio. Mtu akiuawa na mtu asiyejulikana...kawaida polisi watachukua simu yake watizame Nani alikuwa anawasiliana nae, wakikuta...
  13. ngoshombasa

    Ni nani alitaka kumuua Tundu Lissu?

    If that is the case....Mamvi angemmalizia kabisa Lissu huko huko Kenya alikopelekwa maana yeye na Uhuru ni Marafiki. Njoo na lingine tena hili naona linapwaya. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. ngoshombasa

    Jaji Mkuu na Mahakama, Kemeeni Tabia Ya Jeshi la Polisi Kujigeuza Mahakama na Kuhukumu Watuhumiwa kwa Kutumia Media

    Masahihisho Paschal: India haijawahi kupokea sheria yeyote toka Africa Kusini. 1912 SA ilikuwa chini ya utawala wa Makaburu. India ilitawaliwa na Wingereza 1746 - 1946 miaka 200. Sheria zilizotumika India zilitungwa na Bunge la Wingereza (WestMinister) liliokuwa na kazi yakutunga sheria...
  15. ngoshombasa

    Leo ni miaka 20 tangu kufariki kwa Rais Mobutu Seseseko Kukungedu Wanzabanga wa Zaire ya Zamani(Congo DRC)

    Funguka zaidi bibie tupate ilimu na ubuyu Sent using Jamii Forums mobile app
  16. ngoshombasa

    Uzi maalum wa wanywaji pombe

    Bar ya hivi siondoki akiyanani..nasinzia naamka, lete ingine Sent using Jamii Forums mobile app
  17. ngoshombasa

    Uzi maalum wa wanywaji pombe

    Kunywa kitu ngumu kumesa! Sent using Jamii Forums mobile app
  18. ngoshombasa

    Prof. Kabudi hafai kuwa mkuu wa mazungumzo ya makinikia

    Nimesikia Bashite yumo timu ya mjadala pia Sent using Jamii Forums mobile app
  19. ngoshombasa

    Dada, uliza lolote la msingi kuhusu sisi wanaume, nitakujibu

    Kuna tendency ya wanawake kumtegea mimba mwanaume ili aolewe. Pia wanawake wengi wanaamini sex lazima iwe na nia ya kuoana baadae. Kuna sex for leisure na wanawake wengi wa hivi hawahangaiki kumsoma mwanaume je huyu mpitanjia au mkaaji.
  20. ngoshombasa

    Ripoti ya pili ya mchanga itamuacha uchi Tundu Lissu

    Mtoa maada inaonyesha ni jinsi gani uelewa wako upo chini... Lissu wala hawatetei Accasia.
Back
Top Bottom