Ndugu nimekushangaa sana... Wewe unavyohisi hii ishu jamaa wamekurupuka tu si ndio? Hii ishu haijawa planned leo asee, Pia makonda ni mtu mdogo sana katika hii vita asee... Kila kitu kimeshapangwa, Kama ni utafiti ulishafanyika na majibu watu wanayo, makonda ni Kama implementation machine...
Kaka nimewashirikisha washkaji wamesema iko poa sana, yaani ni verified kabisa, ila hayo maji unaweka ya moto, ya vuguvugu au baridi? Maana tumejaribu ya moto sana tukaungua mapaja
Habari zenu wana jamvi, Naomba niweke mezani hili jambo tuweze kisaidiana Kwa mawazo.
Nadhani wote mnafahamu hii Biashara ambayo watu hufanya mjini katika mikoa tunayoishi, Biashara ya kuuza movies ,series na nyimbo tofauti tofauti... Kwa wanao ifahamu Kwa undani, ukitaka kuianzisha unahitaji...
wasalaam wadau,naomba kujuzwa wadau katika hili,je kuongea na kuchat na girlfriend wako had usiku wa manane kila siku iendayo kwa mungu inaboresha au inaua mapenzi yenu? Kuhusiana na kuchokana je? Na nin faida au hasara zake?
haya ni mapenzi,na kama hujapitia hili kuna muda utafika nawe utapitia,jf ni mahali pa kukusanya mawazo tofaut tofaut ya watu ili siku 1 uchanganye na yako then utatue tatizo,kila mtu ana mawazo yake,sina budi kuyakubl na kuyaheshmu.
hapana,sipendi kuwa second choice kabisa,pia nafahamu kwamba ana boyfriend ila hayupo karibu,nilishawah kushka simu yake nikakuta text za huyo bwana wake.
habari wanammu wenzangu,natumaini wote mpo salama,ndugu wana jukwaa wenzangu,naomba mnifungue macho ktk hili,kuna mwanamke mrembo nilimpenda na sikusita kumweleza ukweli lakn alinikatalia na kunieleza kwmba ana mtu,kwa takribani mwezi wa tatu sasa nimekua nikiwa nae karibu sana,tumeshawah kukiss...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.