Search results

  1. L

    Itakuwaje Kama Nyota Itaiangukia Dunia?

    NIBIRU NI SAYARI NA SIO NYOTA
  2. L

    Bajeti ya Serikali mwaka wa fedha 2016/2017 itatisha sana

    JERUSALEMU Hongera kwa posti nzuri haya ndio mambo ya kuongelea hapa. Ni kweli sekta ya utalii inapoteza mapato mengi sana kuna nchi zinaendeshwa kwa kutumia utalii pekeyake. Pia usisahau sekta ya UVUVI.
  3. L

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Hakuna kikao ni kutangazwa majina vikao vilishafanyika chezea ccm ya sasa wewe
  4. L

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Nitajulisha nikijulishwa
  5. L

    Tetesi za yanayojiri kwenye Vikao vya CCM Dodoma

    Wanajanvi nimepewa habari za uhakika kwamba wandishi wa habari wameshaitwa na wamejaa pale makao makuu ya ccm dodoma tayari kwa kajina 5 wa wagombea kutajwa.
  6. L

    Serikali, Wenye Hisa za NICOL ndio wameliwa au...?

    Hawa mabwana kweli ni wasanii maana hata kufungua website zao hazifunguki tena
  7. L

    Lowassa kusababisha ukosefu mkubwa wa ajira kuanzia Julai 2015

    Nasikia eti nae anahusika na sakata la escrow. Duh
  8. L

    Hatimaye maduka yafunguliwa tena Dodoma

    Siku kadhaa zilizopita waziri wa fedha alifunga maduka kadhaa mjini Dodoma,Lakini baada ya wafanyabiashara hao kuwasiliana na viongozi wa umoja wa wafanyabiashara wa mkoa viongozi hao waliwasiliana na TRA na maduka yakafunguliwa siku ya pili yake bila kuwa na vifaa vya EFD. Hii inamaanisha nini..?
  9. L

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Zito mwenyewe anagorofa kule dodoma mbona hakulitaja kwenye orodha yake.
  10. L

    Edward Lowassa special thread

    intimidation ndio nini
  11. L

    Lowassa: Sihusiki na Richmond, ilitungwa kunichafua. Sitohama CCM!

    Anazungumzia CCM NA ACT sio vyomba vya usalama hakuna anayehatarisha usalama wa nchi hapa.
  12. L

    Hatari: Mwisho wa Dunia October 2017

    Hongera mkuu kwa taarifa lakini nikusahihishe kidogo kwamba hilo jimba linalokuja ni kati ya mita 20 na 40 kwa ukubwa na litaleta madhara kwa ukubwa zaidi ya kilomota 1 mpaka 200 katika eneo la mchi kavu litakapo dondokea walio karibu zaidi ni madhara makubwa umbali uavyozidi madhara...
  13. L

    Hatari: Mwisho wa Dunia October 2017

    Hongera mkuu kwa taarifa lakini nikusahihishe kidogo kwamba hilo jimba linalokuja ni kati ya mita 20 na 40 kwa ukubwa na litaleta madhara kwa ukubwa zaidi ya kilomota 1 mpaka 200 katika eneo la mchi kavu litakapo dondokea walio karibu zaidi ni madhara makubwa umbali uavyozidi madhara...
  14. L

    M City: Geti moja liitwe Ali Kiba na Jingine Diamond...

    Wewe wacha kumtusi mtu na kumpangia cha kuongea Hili ni jamvi huru jamaa katoa wazo,Unamlazimisha kujadili dola unaijua dola wewe au unasema mara ya mwisho kutumia dola mia ni lini wewe. Mambo ya dola wachie wenye dola huwezi kufanya lolote juu ya swala la dola au kama unataka tuzungumze...
  15. L

    Mtu na kaka yake wanamiliki FBME inayoshtumiwa na Marekani kwa kufadhili Ugaidi

    Asante na Hongera kwa taarfa ila umekosea kwenye exchange rate zako. LIWALONALIWE
  16. L

    Msaada kuhusiana na Pd-proxy vpn

    Wadau naomba msaada wenu mimi ni mgenikwenye pdproxy nimeweza kupata premium account ya mwezi mmoja lakini kila nikikonect sipati speed kubwa kama wanavyosema watu napata 10-24kbps tu msaada pla
Back
Top Bottom