Search results

  1. E

    Vyuo vingine kulikoni, mbona havitoi Majina ya waliochaguliwa?

    mwaka jana walitoa tarehe 2 october, asa sijui mwaka huu itakuaje.
  2. E

    NIT wagoma, wadai boom na kulalamikia ubovu wa ratiba

    Changamoto kama hizo zipo vyuo vingi tu, halafu kama wewe hutegemei mkopo utakuwa fresh tu. Kingine ni kuwa hii post ni ya june huwezi jua labda wamesha fix sasa hivi.
  3. E

    Msaada: Vigezo vilivyotumiwa na TCU kufanya selection!

    Umechaguliwa ila jina lako na details zako zimepelekwa kwanza chuoni ili wakuthibitishe
  4. E

    Waliokosa first selection ya TCU

    Umechaguliwa, jina lako limepelekwa chuo wanasubiri feedback ya chuo husika ndo wa confirm.
  5. E

    Nani ameshawahi kuomba mkopo hlssf?

    nimepitia website yao wamejieleza vizuri sana ila sitaki kukurupuka nataka kufahamu kwanza kama kuna mtu yoyote humu aliewahi kupata mkopo kupitia kwa hawa jamaa ili kidogo anipe data kadhaa. MSAADA TAFADHALI.
  6. E

    Mambo! Mambo! Mambo hadharani hadharani-heslb na bumu dot com

    kaka stori yako ya ukweli, usijali wanaokuponda
  7. E

    Selection saut zimetoka

    Asante sana mkuu nimeona jina langu.
  8. E

    Selection upload TCU

    DAH! Nimecheki ila jina langu halipo kwenye course zote mbili nilizochagua udsm,ila hamna noma najua ntakuwepo 2 kwenye chuo kingine.
Back
Top Bottom