Search results

  1. M

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    Hili suala nimelikuta mwaka huu shuleni na bado kunampango kama huu katka shule nyingi. Kwahyo!
  2. M

    Walimu tunarudi kazini lakini.........

    Sema wana UD hawaja ajiriwa wa kutosha. Endapo katika CWT wengi wanaenda kukiongoza chama ni Madiplo holder. Mfumo mzima utabadilika na nchi itaelewa tu. Wewe tulia huko private. Wadau tutakomaa tu.
  3. M

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    Hakuna kaka kama kawa mwanzo mwisho pindi ni story tupu. Maana hata madenti wanasemaga Ticha unamwaga ngeli mno kuliko kiswazi. Sasa ni kiswazi na story za kuing'oa serikali mbovu yenye maovu yasiyo na ncha.
  4. M

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    Ukisikia Ukoloni unaelewaje Kaka ndo hvyo wanainch watumwa ktk nchi yetu. Unyonyaji kama kawa
  5. M

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    Kaka Sio Division O ila negative huko yani haifai. Mie nipo.
  6. M

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    Ndio ndugu yangu ulijuaje mtu mzima. HIKI Chama Cha Matekanyara Chama Cha Magamba na Chama Cha Matochaji kwanini asiogope.
  7. M

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    sio ******** tu, bali *******wote. Hawana sifa ya kuwepo hapo.
  8. M

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    Mahakama zina uhuru lakini serikali imeweka mataira wao katika mahakama hizo kujaji uupuuzi usio unamaendeleo. Jamani Tanzania inabidi tuungane tugome wote kwa pamoja watupeleke magwepande wakatu torture wote.
  9. M

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    Kama kawaida mie nilikuwa cijamaliza sylabus na nimeshikilia masomo mawili Chemistry na Biology shule nzima haina mwalimu wa Chemistry na Biology hata mmoja na Kuna mkondo kutoka form I yani A, B, C na D hadi form four shule fulani XXXXXX na mshahara wangu kama vle mnavyojua serikali nundu hii...
  10. M

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    Kaka usije kulia mie mwenyewe leo nina uchungu zaidi yako sema basi natumia busara na heshima ya utanzania. Inabidi wanajamii forum wote twende msituni. Au wananchi wote tugome mana vyombo vya habari havina uhuru, vinatangaza kwa hofu kuna mwananchi mmoja kapiga simu katka kipindi fulani cha TBC...
  11. M

    Nahitaji internal DVD writer ((Ide) ya desktop

    mie nataka nikupe sehemu ya kwenda upate mpya kwa bei nafuu nenda RAAM computers vtu vyao bei poa mtu wangu. Kariakoo.
  12. M

    Maelezo binafsi ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya tuhuma za rushwa kwa Umma

    kaza buti kikomandoo. Mwambie Dr. Slaa huo mwanzo tu, uchafuzi umeanza. Mie nadhani ile kampeni ya kuweka saini na mkakati wa kumfanya mzee avunje baraza la mawaziri limemfanya achukie. Ko wamekutafuta wakahisi hapo ndo kukupa kadoa. Wadau tumelijua hilo kwa kina. Tunacheki upepo unapoenda...
  13. M

    Maelezo binafsi ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe dhidi ya tuhuma za rushwa kwa Umma

    ZZK mie nahisi hiyo tuhuma ni mapito wangapi wamezushiwa na wanazidi kula maisha. Wewe weka mpira kati tutafute magoli uchaguzi ujao. Hawana jipya wanadhofisha juhudi yako ndugu. Hapa hatupo kukukandamiza maana wewe ni kijana mwenzetu. Hata ukiongea bungeni wadau tunajua Jembe limesimama...
  14. M

    Wabunge na viongozi mbalimbali wachukue nafasi za ufundishaji katika shule za senti kayumba.

    Ualimu ni kazi sio kama kazi nyingine rahisi rahisi inahitaji kupewa heshima kubwa sana, Wadau wa Elimu wakubwa ni Waalimu wanavyodai haki zao ijulikane kuwa mazingira ya kazi na stahili zao haziko shwari kabisa. Uwezo wa kutoa elimu ni fani isiyo elezeka kisaikolojia kwa maana Elimu ni ufunguo...
  15. M

    MGOMO WA WALIMU WAPAMBA MOTO: Habari na matukio katika picha

    Mie nadhani itakuwa takribani millioni 200-300 kwa mwaka. Kwasababu kwa mshahara wamewapandishia mwaka huu kwahyo wadau wamesema itakuwa m10 kwa mwezi na makorombwezo yote inazidi. Watu wanakula hela babu. Huyo mbunge mmoja je wabunge wote itakuwaje. Alafu m2 akidai nyongeza ya hata sh. 20000/=...
  16. M

    MGOMO WA WALIMU WAPAMBA MOTO: Habari na matukio katika picha

    Serikali imetoa tamko ya kwamba wapo walimu wanawashinikiza watoto kuandamana na wanadai wamewaandalia mabango na kuwaandikia maneno ya kuhitaji haki yao ya kupata elimu. Lakini mie kama mie nataka kusema. Watoto ambao wenye ukaribu mkubwa na walimu wao ni wa Msingi ndo wanajua umuhimu wa...
  17. M

    MGOMO WA WALIMU WAPAMBA MOTO: Habari na matukio katika picha

    ha!ha!ha!ha!ha!ha! Mwana wewe wa ukweli nimekusoma. Haya magamba yamekuwa matochaji. Yata watocha watoto bwana.
  18. M

    Waziri Kawambwa ashindwa kujieleza juu ya Mgomo wa Walimu

    walimu hatuna kosa ila tupo wengi sana. Serikali ikio na kazi ku2lipa madai
  19. M

    Waziri Kawambwa ashindwa kujieleza juu ya Mgomo wa Walimu

    walimu hatuna kosa ila tupo wengi sana. Serikali ikio na kazi ku2lipa madai
Back
Top Bottom