Duu hawa viumbe ni shida mi sijasomesha nilimsaidia mahitaji tu lkn kamaliza masomo kageuka jike shupa hata kupeleka barua nimeghair bora maumivu yaishie hapa hapa. Ila sijajuta naamini Mungu hupanga mambo yake na huwa hayafail kwasabab mwanadamu kapanga lake.
Watanzania ni wanafiki huwa hatujui tunachotaka na hatuna kauli moja kwa lugha nyingine vigeugeu au labda hatujui tunachotaka.
Mh. J K alikuwa anatoka sana nje akasemwa kwamba anafuja kodi kwa kusafir kwake tena ikadaiwa anakoenda si kwa manufaa ya Taifa ila starehe zake tu.
Nashauri tuwe wa...
Jamani mnatuonea bure watoto wanatutia majaribuni huwa wanatutega, so mtu aliyetegwa kunaswa ni mafanikio ya mtegaji na anguko kwa mtegwa sasa hapa aliyeshindwa ndo anaandamwa kuliko aliyekusudia. Ila nashukuru kwangu wanashindwa kuna dogo alinifata eti ananikopa buku5 halafu ananirembulia...
Kuna utofauti wa muda na cheo, ulikuwa waziri sio rais, ulikuwa muda uliopita ila msafara ni current, inamaana changamoto zitakuwa tofauti kwa kigezo cha muda na uwezo wa kuzishughuliki nao ni tofauti kwa kigezo cha mamlaka aliyokuwa nayo.
Hakuna mwaka ukizitoa hizo week 2, assessment zipo za sina nyingi watu walitumia ya awali kumpa kura, hii wanauomsifia ni endelevu kwahyo usitumie mihemuko yako na chuki ambayo hukuondolea imani juu ya mtu usiyempenda.
Rais wa nchi hawezi kutembea umbali wa km 500 ndani ya ncho yake asipate kitu cha kukifanyia kazi, ktk safari hii anakuwa na fursa ya kuziona changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi kwa macho yake.
Kwa mahitaji haya hata mkiletewa nabii mtapendekeza asile Mungu ndo amletee mlo wake ili kupunguza bajeti, kiujumla ni wachoyo wa fadhira mmelalamikia mashangingi yamesimamishwa mnaleta singe mpya!
Nakushaur kama una ndevu nyoa zote, kama una degree au masters choma vyetu ubaki na cha O level tu utapata post mpya ya A level, ukitoka nyumbani usisahau kumuaga mama yako kwani usipofanya hivyo utagombezwa sawa dogo!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.