Search results

  1. N

    Wake wa Marais wetu na Mambo yao

    mh! haya tena
  2. N

    Lowassa anasafishwa!

    mwanzoni nilidhani kuwa ccm ilikuwa inawakumbatia wafanyibishara kwa kuwa walikuwa wanawakirimu au wanaisaidia ccm kifedha, kumbe ni tofauti, yaani ccm inawakumbatia wafanyibiashara ili waibe benki kuu waigawie ccm yenyewe, nilidhani akina RA, wanapesa nyingi wanaisadia ccm kumbe ni tofauti...
  3. N

    Lowassa anasafishwa!

    mwanzoni nilidhani kuwa ccm ilikuwa inawakumbatia wafanyibishara kwa kuwa walikuwa wanawakirimu au wanaisaidia ccm kifedha, kumbe ni tofauti, yaani ccm inawakumbatia wafanyibiashara ili waibe benki kuu waigawie ccm yenyewe, nilidhani akina RA, wanapesa nyingi wanaisadia ccm kumbe ni tofauti...
  4. N

    Sauti Kutoka Khartoum

    ungepata majina yao, na sehemu wanazotoka tanzania, isije ikawa wanataka msaada waendelee kuponda maisha hapo, je roughly wanahitaji kiasi gani cha pesa waweze kurudi? kama wapo mia moja sudan kharoum peke yake je nchi nzima inakuwaje? kama wakiweza kusafiri kwenda sudan kusini yaani juba au...
  5. N

    Divided Perspective; Laana na Mashangilio

    Nimefanya Kazi Vijiji Vingi Vya Nchi Yetu, Pasaka Nilikuwa Maruku Bukoba, Karamagi Alipata Wakati Mgumu Kuhutubia Mkutano Kwenye Shule Moja Ya Sekondari Ambayo Imeitwa Jina Lake, Wananchi Wanataka Jina Lake Liondolowe, Hakupata Mapokezi Ya Mafuriko Kama Ya Chenge Na Lowa-hasa, Ni Kweli Kuwa...
  6. N

    Divided Perspective; Laana na Mashangilio

    Nilikuwa Arusha Siku Lowasa Akitarajia Kuwa Kule Bbada Ya Kutimuliwa Uwaziri Mkuu, Madereva Walipewa Lita 15 Za Petroli, Huko Bariad Nako Si Haba, Ukweli Unabaki Kuwa Inabidi Wananchi Wakombolewe Kiuchumi Halafu Kifikra, La Sivyo 2010 Ccm Ikiweka Jiwe Kama Mgombea Linaweza Kupita ! Umaskini Wa...
  7. N

    Lowassa anasafishwa!

    tuuukubali ukweli, waliomshangilia chenge na lowasa walifanya hivyo kwa njaa zao, tunaambiwa kuwa yale magari yaliyoko kwenye msafara yanapewa mafuta toka kwenye akaunti ya vijisenti, kule bariadi kila mahali alipohutubia ngombe alichinjwa watu wakala bureee, ni mwanakijiji gani ataacha...
  8. N

    Kenya Election 2007: Outcomes

    oneni jinsi wakenya wanavyoendelea kuchinjana kwa mujibu wa bbc leo Watu kumi na wawili wameuawa baada ya kupigwa risasi na wengine kuchomwa wakiwa hai kufuatia mgogoro wa mashamba katika eneo la Mlima Elgon magharibi mwa Kenya. Kwa mujibu wa msemaji wa polisi, Eric Kiraithe jumla ya nyumba...
  9. N

    Raila Apata Mabodigadi Kama PM (mteule)

    lakini wakenya mna matatizo gani, kuna wengine wameuana tena kwa kuchomeana nyumba, wako sijui 12, wakati raila yuko mapumzikoni huko beach mombasa na kibaki anakula pilau ikulu, iwe wameuana au kwa ajili ya post election violence au swala la ardhi hapa tanznia kwetu ni maajabu, hivi kweli kuna...
  10. N

    Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

    ninachohisi kwenye swala la mkono kulikuwa na ufisadi, kwani alikuwa ameshalipwa around 18bn ambazo ni kama 13% ya deni inalodaiwa serikali, kwa kawaida advocate fees ni 10% of the deni, na kama deni linalodaiwa ni kubwa mna negottiate hata 5%, sasa huyu amelipwa 13% why?
  11. N

    Wananchi wa Mbeya wamuomba JK amuondoe Mkuu wa Mkoa

    pamoja na kwmaba wanayemzungumzia ni mkuu wa mkoa wa mwanza , lakini nako mbeya si haba, mkuu wao wa mkoa kazi yake ni kupambana na Dr Mwakyembe yule jemedari wa richmond aliyemtoa lowasa jasho tunaambiwa kuwa mpaka leo ana ndoto ya kuwa tena mbunge wa kyela kiti anacbhokalia mwakyembe, kazi...
  12. N

    Tamko la wasomi kuhusu ufisadi

    kwa waheshimiwa wabunge wa ccm, mnalo moja la kuchagua au kuwatumikia wananchi au mafisadi, mjue kuwa hao wanaowafadhili kwa mamilioni wakati wa uchaguzi, wakijidai kuwa zinatoka mfukoni mwao ni waongo, wanachota mabilioni toka hazina ya wanyonge, wanawaletea visenti, kataeni hivyo visenti na...
Back
Top Bottom