Search results

  1. Hasara

    Ninauliza Nani Kaiweka Nchi Rehani?

    Ninauliza Nani Kaiweka Nchi ya TANZANIA Rehani?
  2. Hasara

    Afya ya Dr. Idrisa Rashid Aliye kuwa Gavana ni ??

    Afya ya Dr. Idrisa Rashid aliyekuwa Gavana BoT ni mbaya? anaumwa nini? na mke wake wa pili alikufa na nini? na sasa nimesikia ana mke wa kiarabu kama wa mshika dau. mwenye data anipe hapa.
  3. Hasara

    07/2008 Pigo kubwa kwa serekali awamu ya 4

    Serekali ya awamu ya nne itapata pigo kubwa sana 07/2008 itaondokewa na kiongozi mkubwa sana. msinielewe vibaya nina Deliver MSG tu.
  4. Hasara

    Mazingaombwe ya REDET: Utafiti mpya wabaini Watanzania hawana imani na mawaziri

    Inside infor. matokeo ya REDIT mpaka sasa JK na serikali yake Kutoka 80.28% hadi 47.60% mchakato huu bado una endelea sehemu mbali mbali nchini , sehemu kubwa wana tumia simu kuwaambia wahusika kukusanya maooni mikoani watu wengi wanaoulizwa ni makada wa chama husika,na mambo mengine yata...
  5. Hasara

    Inside infor. Matokeo ya REDIT mpaka sasa JK Kutoka 80.28% hadi 47.60%

    hayatokeo nilisema kwa wakati ule yalikuwa haya na yakazidi kushuka tu .
  6. Hasara

    Inside infor. Matokeo ya REDIT mpaka sasa JK Kutoka 80.28% hadi 47.60%

    hamatokeo nilisema kwa wakati ule yalikuwa haya na yakazidi kushuka tu .
  7. Hasara

    WanaJF waliojitoa na kutokuwa na imani na serikali ya JK

    WanaJF waliojitoa na kutokuwa na imani na serikali ya JK, Hasara nitakuwa wa kwanza kutokana na yanayoendelea katika uongozi wake, na kuwa na washauri wabaya. Nimejitoa kuanzia leo.
  8. Hasara

    Iddi Simba vs Zitto - Kamati ya Madini

    Sasa ninaamini kwamba JK anafuata usauri wa WanaJF kijiwe kidumuu TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais Jakaya Kikwete amemteua na kumwongeza Mhe. Iddi Simba kuwa mmoja wa wajumbe wa Kamati ya kuangalia upya mikataba ya uchimbaji wa madini, Kamati ambayo iko chini ya Uenyekiti wa Mhe...
  9. Hasara

    Katibu Mkuu ashinda kwenye banda la Tanzania akiuza utalii London

    huyu mama ni mchapakazi katika makatibu wa kuu wa kikwete ndiyo aliye anzisha TRA yupo makini sana
  10. Hasara

    Kashfa ya Richmond: The FACTS

    Namnukuu HALISI
  11. Hasara

    Rais Kikwete amteua Zitto kamati ya Madini

    Muh.Zitto angalia hapo ndipo watakapo kupia Sumu ya panya inaitwa ''die slowly' ushauri tu.
  12. Hasara

    EL, RA & JK wamnunua Mwanakijiji!

    heshima mbele mkuu mimi siwezi kufanya hivyo itakuwa ni laana kwa watanzania ninaomba mungu anisaidie kila kitu pesa pesa tu mimi nilitishiwa kuweka hizo picha nikampa mwanakijiji sasa zimempandisha chati ninaomba tu asije akanitaja kwa sababu tuna fahamiana sana na mwanakijiji. ninahofu...
  13. Hasara

    EL, RA & JK wamnunua Mwanakijiji!

    Mwanakijiji ukimwaga Mboga mimi nitamwaga Ugali :o picha bado ninazo nitaziweka hapa -umetusaliti Kashfa ya ufuska dhidi ya Kikwete ( 1 2 3 4 5 ... Last Page) hasara--''vibweka vya wakubwa''
  14. Hasara

    EL, RA & JK wamnunua Mwanakijiji!

    SIKUJUA JAMBO FORUMS NI DEAL........ Lowassa,JK wa mnunua Mwanakijiji Bei Mbaya kuhusu Picha Chafu za kashifa na ushaidi mwingi aliyo nayo MWJ kuhusu viongozi hao na wengine ,kwahiyo wameamua kumrudisha kundini kwa pesa nyingi na kumu offer nafasi ya kazi serikalini na hakuna anaye mjua...
  15. Hasara

    KISWAHILI: Naomba maana ya maneno haya...

    Ukiitwa Mswahili Maana Yake ni nini ?-Kikwete Ni kweli baada ya kumchafua Salim A. Salimu anampa nafasi kamati kuu,baada ya kumuwanika Salimu kuwa ndiye aliyehusika kumuuwa Rarume kwenye magazetila mwananchi wakati wa kampeni 2005.
  16. Hasara

    Kingunge, Sumaye nje Kamati Kuu

    Asante sana nimefikiria kuwa nimechemsha mzee wangu ubarikiwe mwanangu!
  17. Hasara

    Kingunge, Sumaye nje Kamati Kuu

    Baba yangu mimi nimeweka tu isowe sijui kitu msewangu. samahani ninaitoa sasa hivi kama haifai samahani sana mwanangu...
  18. Hasara

    Aibu tupu Dodoma

    Aibu tupu Dodoma 2007-11-07 15:40:07 Na Mary Edward, Dodoma Licha ya kinyang`anyiro cha uchaguzi wa Chama cha Mapinduzi CCM, kumalizika salama, lakini aibu zilizotokea huko zimebaki kuwa simulizi katika mji mzima wa Dodoma. Habari za uhahika zilizolifikia gazeti hili zinadai...
  19. Hasara

    Kingunge, Sumaye nje Kamati Kuu

    Kingunge, Sumaye nje Kamati Kuu 2007-11-07 10:20:29 Na Beatrice Bandawe, Dodoma Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), jana ilimpitisha Bw. Yusuf Makamba, kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Wajumbe mashuhuri wa Kamati Kuu ya zamani ambao hawamo...
  20. Hasara

    Hotuba: Awamu ya nne!

    asante kwa burudani hii kaliya mwisho wasanii wengine waendelee kuimba ujumbe ufike waitaje JF pia
Back
Top Bottom