Kwa hiyo unatarajia CCM itatawala milele hongera sana mkuu! Unashindwa kabisa kutambua kwamba kuna watu lukuki ambao hawaaamini katika chama chochote cha siasa unafikiri hao unawaweka katika situation gani!
Hata mimi ninapata shida sana ninafikiri hii nafasi ya CAG ni bora ikaondolewa tu maana ikiendelea kuwepo na utekelezaji wake ukawa chini ya maelekezo ya Serikali basi itakera zaidi!
Ha
Halafu kumbuka hiyo ni tuhuma tu! Sasa kwa mfano baada ya upelelezi anaonekana hahusiki je atasafishwa je! Ni vizuri viongozi wetu wakajali utu angalau kiduchu!
Thanks Father AMIGU! kwa kweli Kwa muda mrefu sana tangu yalipoanza maelekezo ya kwamba Dini zisiingilie masuala ya siasa, NILITAMANI KUMPATA KIONGOZI WA DINI MMOJA MWENYE UJASIRI WA KUYASEMA HAYA AMBAYO PADRI AMIGU AMEYASEMA, MUNGU AKUBARIKI SANA BABA
Mkuu kudaiwa siyo shida hata kidogo maana hata sasa tuna madeni ya kutosha. Lakini sasa ndiyo ifikie hatua ya kukamatiwa ndege ýetu pendwa? Hiyo ni hatua inayoashoria uzembe ndani yake, hivi kweli kama mtanzania huna chchote cha kuiambia Serikali yako pendwa kuhusu uzembe huu! Jamani tujaribu...
Mkuu Zitto amekupa taarifa ya BOT kuhusu hali halisi kwenye kibubu cha Taifa sina hakika kama huwa unazipia na kuzisoma taarifa hizi muhimu za BOT, badala yake unakuja na utumbo huu kwa maana hiyo huoni mahusiano yoyote ya uchumi wetu na kuporomoka kwa reserve iliyopo basi taifa letu ni la...
Hapo ndiyo huwa ninawashangaa sana waTanzania wenzangu! Badala ya kutoa ushauri wa kulisaidia shirika letu wewe unataka kuwaaminisha watu kuwa hilo ni tatizo dogo sana! This is very bad, Katika industry ya usafiri wa anga hakuna jambo baya kama kutokuaminika kwa ratiba za ndege zenu hii inaua...
Hata mimi ninaona ni mazungumzo ya kawaida sana, maana kwa watu waliotoil kuinadi ccm na baadaye wanaambulia matusi ya Musiba, nilitegemea mazungumzo yao yangekuwa na maneno makali zaidi ya haya.
Kwa ninachokiona Mkulu inabadi atumie busara sana katika kudeal na suala hili na endapo atakurupuka...
Sasa kwa utalamu wako hayo maagizo aliyoyatoa kwa Naibu waziri yalikuwa sahihi kwake kweli! Yaani afike wizarani aanze ku initiate mashauriano ya kuondoa wakurugenzi kweli hapo wizarani patakuwa salama kweli hebu tuwe wakweli tujenge nchi yetu!
Taarifa ya leo maiti zilizopatikana ni 224 kwa mawazo yangu duni ni busara kwa kiongozi wa nchi kuhudhuria hata kama ni kuja kuzika na kurudi ni lazima tuwe na vipaumbele majonzi yaliyoko Mwanza ni makubwa mno, ila uwepo wa Mkuu ungeongeza faraja!
Hivi kwa akili zako hela za jimbo zinagawiwa kama njugu si kuna kamati maalumu jamani na zinakaguliwa na CAG hivi hizo pesa si zinatolewa kwa mujibu wa sheria?
Kama tuhuma za majukwaani ndiyo final mbona yule Mkurugenzi ametuhumiwa na badala yake akapewa na fulsa ya kuoa wake watatu pamoja na dada ya yule aliyetoa tuhuma, we must be fair vinginevyo tutavuna tunachokipanda leo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.