Search results

  1. mngony

    Iran imesema Kipaumbele cha kwanza ni kuiteka Jerusalem

    Jamaa ni mjinga na hataki kuondoa ujinga
  2. mngony

    Iran imesema Kipaumbele cha kwanza ni kuiteka Jerusalem

    Acha ushabiki na badala yake jielimishe na kufatilia mambo. Kuna watu mnaandika vitu vinaonesha hasa uwezo wenu mdogo wa kufikiri na kuchambua mambo. Hao wakipigwa mtaanza kuja kulalamika. Dont be stupid hakuna nchi ya Middle East inaweza hata nusu kufikiria kupigana na Israel. Hiyo Iran kila...
  3. mngony

    Yanga ndio timu mbovu kwa sasa kwenye hatua ya robo final club bingwa

    Yani hata kocha hakuona mwenye kufaa kuanza kati yao mechi na Al Ahly
  4. mngony

    DOKEZO Hospitali za Serikali wanagoma kuwapa dawa wagonjwa wanaotumia bima za NHIF

    Hospitali ya Wilaya ya Mkoa wa Kagera? Iweke vizuri Mkuu kama ya Rufaa ya Mkoa au ya Wilaya ipi? Lini, na ni Dawa gani hiyo ambazo zote hukupewa ila wa cash akapewa?
  5. mngony

    Wapinzani siku mkija kuwa Serious, tunawapa nchi

    Mtawapa wewe na kina nani?
  6. mngony

    Mamelodi Sundowns watakagua uwanja wa Mkapa kwa kutembea peku

    Imani za kshirikina tu, hakuna kitu kama hiko katika masuala ya saikolojia ya Soka Duniani. Inaondoa uoga uoga upi viwanja vyote vina standard zinajulikana na wala hawatoche peku. Al Ahly mabingwa wa kihistoria na huwa hawafanyi hiyo tabia.
  7. mngony

    Iran prepares to open new front in Western Africa

    Acha ushabiki mleta mada, Iran wanakulipa kwani? Katika taarifa zote kipi kimekusukuma kukaa na kuandika hiyo.
  8. mngony

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Ndio maana wenye akili wanaona hata Mabeyo hakutimiza wajibu wake. Ni aibu kutamka hayo mbele ya vyombo vya habari.
  9. mngony

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Una point, hakusimamia vizuri majukumu yake. Alikaa muda wote akakubali wahuni waendelee na mipango miovu huku akijua kuwa wanafanya kinyume. Hata kutangaza ni kutokana na pressure alizokuwa akizipata kuwa kwa nini unashindwa kusimamia katiba.
  10. mngony

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Wewe itakuwa Sukuma gang siwezi kukushangaa kuongea utumbo huu. Yani hii nchi imekuwa geto lako eti Bashiru, uko serious kabisa mtu mzima unaadika huu ujinga humu. Ndio maana ulifeli form 4
  11. mngony

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Amefanya makusudi, hilo tusi na dhihaka kwa Taifa letu kwa njia kidiplomasia.
  12. mngony

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Kwa uhaini huo huyo Bashiru hakutakiwa kuwa hai, achilia huo Ubunge. Alikuwa na malengo gani na yenye maslahi ya kina nani?
  13. mngony

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Mkuu huu sio muda wa mabishano ni muda wa kuelimishana masuala muhimu ya kitaifa. Kama huwezi Mkuu, Ahsante kwa mchango wako
  14. mngony

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Waliomshauri nani? Kagame? Kafanya kusudi kututukania Jeshi letu JWTZ na Taifa kwa ujumla.
  15. mngony

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Kwa sasa tumkatae kwa ndugu zetu wa JWTZ hao wa huko kwao Rwanda watajawabishana wenyewe kwa wenyewe.
  16. mngony

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Kama walikataa na sisi tumkatae, kwa heshma ya ndugu zetu wa JWTZ waliopoteza maisha huko DRC.
  17. mngony

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Ahsante Mkuu, unaweza kutusaidia kutuwekea katika lugha yetu, tupate elimu zaidi wengine shule msingi. Kaka uta edit uweke kwa kiswahili itakuwa bora zaidi.
Back
Top Bottom