Search results

  1. AmKATRINA

    Huu ugonjwa gani? Nagusa kama kipele kigumu - kinachoteleza na kinachouma ndani ya uke

    Habarini za wakati huu memberz wenzangu. Nimekuja humu kuomba ushauri/ tiba ya ugonjwa unaonisumbua. Ni takriban mwezi wa 6 huu nagusa mfano wa kipele/kinundu kirefu kinachouma ndani ya uke (nikilala chali nakishika kabisa). Awali nilidhani huenda ni mchubuko tu nikajua nitapona hvo sikutilia...
  2. AmKATRINA

    Kuna 10,000(elfu 10) cash kabla ya saa 06:00 asubuhi kwa atakayeonesha picha full nyumba yenye paa hili

    Hii picha inatrend sana hasa Tanzania ikizungumziwa masuala ya mvua na mafuriko. Naomba picha hii ikiwa full. Yaani nyumba full. Kuna 10,000/= cash kabla ya saa 06:00 asubuhi. Nipe picha ya hii nyumba ikiwa full na paa lake hili linaloonekana kama lilivyo Karibuni kwenye mpambano. 10,000...
  3. AmKATRINA

    Kwanini vijana wa sasa mnapenda kulelewa na Wanawake wakubwa? Wazazi kuna walakini kwenye malezi

    Sasa hivi vijana walio wengi hawataki wasichana rika lao na wanahitaji kulelewa tu. Mikoa inayoongoza ni Dar es Salaam, Dodoma, Arusha sio kwa kiwango kikubwa ila wapo, pamoja na Mwanza. Wazazi wa vijana wa sasa,kuna walakini kwenye malezi yenu. Tusipoangalia, Tanzania itajaa vijana tegemezi...
  4. AmKATRINA

    Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

    Wamefuka pale pale maskiniiiii😕😕😕
  5. AmKATRINA

    Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

    Mungu wangu....kafa vibaya sana. Pole zao wafiwa jamani. Ukute alikuwa anawahi/kutoka kazini au mihangaikoni.
  6. AmKATRINA

    Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

    Alikufa? Wanasema walikuwa wawili, mbona hapo ni mmoja tu? Mwingine yuko wapi hapo?
  7. AmKATRINA

    Apungua Kilo 58 baada ya kuwekewa puto Hospitali ya Mloganzila

    Muhimbili hospitali tawi la Mloganzila Kibaha wanaweka kuanzia Milioni 3.5 mpaka Milioni 4. Hospitali za AgaKhan na Hitech Sai nilisikia wao wanaweka kuanzia Mil4.5 mpaka Mil5.5 Unaweza kaa na puto kwa miezi 6, 9 na mwaka mmoja. Masharti yapo kwenye tovuti ya Mloganzila hospital au AghaKhan na...
  8. AmKATRINA

    Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

    Habari za wakati huu wanafamilia wote wa Jamii Forums, hasa wa jukwaa hili la MMU. Nimekuja kuleta tatizo langu kwenu hapa jukwaa ili kama kuna mtu/daktari/mtoa ushauri/mwanasaikolojia atakayeweza kunisaidia basi na aweze kunisaidia. Japo ni tatizo la aibu au la fedheha, lakini nina imani...
  9. AmKATRINA

    Hebu tukumbushane maisha yetu ya nyuma yalivyokuwa majumbani mwetu

    Mimi nakumbuka kabla dada yangu wa kwanza kuzaliwa hajaolewa, yeye ndie tulikuwa tunamuonea kwenye kupika kila siku. Dada yangu alikuwa hana jinsi maana sisi ndio tulikuwa wadogo zake. Ila akimaliza kupika sasa, hivyo vyombo vichafu mpaka juu ya dari....ila mwisho wa siku tunaelewana na kupiga...
  10. AmKATRINA

    Kiwanda cha maji MASAFI mnahatarisha afya zetu

    Hii ndio inayotumika. Hakuna cha sindano wala moto. Hata wewe unaweza kuuza maji haya ukifuata process niliyoielezea. Kama una kopo hapo kwako lenye kifuniko nilichosema, fanya jaribio sasa hv. Afu uje utupe mrejesho
  11. AmKATRINA

    Kiwanda cha maji MASAFI mnahatarisha afya zetu

    chinchilla coat na yello masai naomba niwafafanulie vizuri ili mpate kuelewa. Mkuu KUTATABHETAKULE huenda yuko sahihi au pia hayuko sahihi. Ni hivi, chupa ikishaisha maji mfano ya uhai au kilimanjaro au masafi au dasani, kinachofanyika pale ili kuweza kupata maji haya mnayosema yana ladha mbaya...
  12. AmKATRINA

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    Ngoja nakutext
  13. AmKATRINA

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    Hahaha kwa kweli. Nimemwambia awekw ushahidi anakazana ile yako ingine, ipi sasa.
  14. AmKATRINA

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    Nimekuja wasap uko kimya
  15. AmKATRINA

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    Ana stress zake za maisha ya mtaani. Anitokee hapa
  16. AmKATRINA

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    Huna ushahidi. Sema lingine.
  17. AmKATRINA

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    We unataka kulelewa mimi ninataka kulelewa pia
  18. AmKATRINA

    Nahitaji mpenzi wa kiume

    Ungetaja Id ningejua la kusema ila huna ushahidi mkuu. Weka ushahidi. Ni kitu rahisi sana.
Back
Top Bottom